Unawakumbuka hawa?

Kweli mkuu, hawa watu ni hatari aisee
 
mwanga lutila hawa hawawezi kuchuja, sabab ya umakini na kazi zao, wanajali ubora wa kazi.. utafiti nakuunga mkono
 
Last edited by a moderator:
eeeeh! tena jamaa wako vizuri sana ktk michezo yao
 
Hahahahaaaa huyo madame namzimia kwenye move yake ya act sister
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…