Unawajua Wababa wa aina hii?

DMmasi

JF-Expert Member
Nov 28, 2020
421
648
Yeye ni baba anayekimbia majukumu ila watoto wake wanapokuwa na kujitegemea hutaka kulipwa fadhila ingali wale wadogo anaowalea bado hawatumikii kama baba kamili.

Yeye huwa anajua kabisa wakati huu mwanangu anahitaji kulaa ni muda wakupambana wewe ule ila akikuona umeenda nyumba ya jirani hurudisha mikono nyuma na kusema mwanangu kajiongeza mimi nitakula hiki kidogo walonipa nduguze yeye atakula uko.

Baba huyu watoto tunaishi nae kimazoeya kwakuwa yeye ni mwenye kaya tunakuwa waogo kufanya maamuzi

Je, baba huyo unamjua?

Je nani wakumbadilisha baba huyo kama siyo sisi wanae wenyewe?

Nani wakufanya tumfurahie baba huyu kama siyo sisi wanae?
 
Yeye ni baba anayekimbia majukumu ila watoto wake wanapokuwa na kujitegemea hutaka kulipwa fadhila ingali wale wadogo anaowalea bado hawatumikii kama baba kamili.
Ana mpambe wake anaitwa Tiaraei nuksi kweli kwenye kukuchungulia ukipata viela kidogo.
 
Baba mwenyewe mlevi analingia utajiri anaotupora wanae, sisi tunalala na njaa yeye anadai tumekula! Baba amejua hatumpendi hivyo anajihami na silaha kiunoni mpaka kwenyemeno.
 
Baba mwenyewe mlevi analingia utajiri anaotupora wanae, sisi tunalala na njaa yeye anadai tumekula! Baba amejua hatumpendi hivyo anajihami na silaha kiunoni mpaka kwenyemeno.
Naamu baba anayetaka tumwone bora na hatuonyeshi ubora wake
 
Back
Top Bottom