Unawafahamu warangi?

Unawafahamu warangi?

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Kwa taharifa yako tu, Hawa ndugu zetu hupendelea zaidi kuandika barua zao kwa kuzianza kwa salamu za kikwao, hata maandishi ya mapambo kwenye vyombo vya usafiri mengi huyaandika kwa lugha yao ya Kirangi kuliko makabila mengine ya Tanzania.

Nipo Kondoa leo, Siku njema wana JF
 
Nao nasikia ni wairaq....
Ila wanawake ...mh wamejaaliwa hiyo miguu kama ya wachagga.
 
Wanawake hupendelea kufanya biashara za kuuza vitu vidogo vidogo jioni kama samaki na karanga kwa mwanga wa koroboi. Hawa ukuoa hata kama una kila kitu, ukimzua kufanya biashara zake pembeni ya barabara atakuacha penda usipnde.
 
Kwa nyongeza tu, Wanaume wao hupenda sifa sana hasa akizikamata.
 
dah mnanikumbusha khadija wangu jamani, mtoto wa kirangi she was so cute lkn miguu tu alikosa hilo nathibitisha, huyu mtoto ndo nilopojifunzia style zote tulikuwa bila bao nne hatujatoka room, upo wapi khadija. Nakumbuka mapenzi yalituzidi mpaka ilifika kipindi tunajifungia gesti toka saa nne asubuhi mpaka kumi na mbili jioni, khadijaa mtoto wa kondoa ilikuwa arusha hiyo wadau, nakumbuka my bro alisafiri km wiki hivi khadija alikuwa anaishi na dada'ke pale mitaa ya shamsi kwa vile ilikuwa jirani na home basi usiku alikuwa anatoroka. eti anafunga uzi wa kushonea kwenye mguu wake halafu anautolea dirishani basi mie ikifika saa nne usiku naenda dirishani nauvuta ule uzi anashtuka tunasepa kuibanjua amri ya sita. dah khadijaa mtoto wa kirangi maskini walimkeketa lkn kwa uwezo wangu niliweza kumfikishaa kileleni. warangi wazuri bana lkn pale arusha hawana sifa nzuri.
 
Wanasema kiporo cha wali hakihitaji moto mkali kukipasha. Ongeza bidii kumtafuta Khadija wako
 
Wanatoka wilaya ya KONDOA ambayo ina siri moja kuhusu jina la wilaya yao, kila ukiondoa herufi ya kwanza ya jina la wilaya hiyo unapata neno la kiswahili. Angalia mfano hapa chini:

KONDOA
ONDOA
NDOA
DOA
OA
A
!!!!!!!!!!
 
wanatoka wilaya ya kondoa ambayo ina siri moja kuhusu jina la wilaya yao, kila ukiondoa herufi ya kwanza ya jina la wilaya hiyo unapata neno la kiswahili. Angalia mfano hapa chini:

kondoa
ondoa
ndoa
doa
oa
a !!!!!!!!!!
duuu imekaaa njema hiyo.
 
Ndio nawafahamu. Wadhulumati, wabinafsi, wanawake wao malaya na wanatumia ndumba kwenye ndoa zao.
 
Wanatoka wilaya ya KONDOA ambayo ina siri moja kuhusu jina la wilaya yao, kila ukiondoa herufi ya kwanza ya jina la wilaya hiyo unapata neno la kiswahili. Angalia mfano hapa chini:

KONDOA
ONDOA
NDOA
DOA
OA
A
!!!!!!!!!!
KONDOA sio mchezo! Uki -ONDOA tabia yao ya kufanya tendo la NDOA kwa kugusa tuu, maisha yao wameyatia DOA japo waoaji bado wana wa OA sana na kuwapa maksi za A kwa rangi na uzuri wa sura.

Upande wa tabia, Warangi wana belong kwenye kundi la makabilaya Wairaque wa Tanzania, jamii nyingine ni Wambulu, Wasandawi, Wabarbaig, Wagadzabe, Wataturu, Wanyaturu na Wabalungi.
Wanawake wao wote ni weupe, sura ndogo za mviringo, nywele za singa, miguu mwembamba, wanatahiriwa na hawana roho mbaya, ukigusa tuu ni twende na hawapangi bei, kwa lugha nyingine hawajiuzi hivyo kwao ni wema tuu.
 
Ndumba wanakuja nazo kutokea huko Kondoa?
Ila nawajua tunda lao lina T.o.h.a.r.a
Wamepunguza mmmmmm.....ze utammmmmmmm.
Hata akija bwana wake wa zamani atakwambia ni kaka yake! Lol.
 
Ukioa siku ya saba lazma arudi kwao akakabidhiwe kanyoka kake kakufuga ndani kwa siri hahahaaaa!
 
dah mnanikumbusha khadija wangu jamani, mtoto wa kirangi she was so cute lkn miguu tu alikosa hilo nathibitisha, huyu mtoto ndo nilopojifunzia style zote tulikuwa bila bao nne hatujatoka room, upo wapi khadija. Nakumbuka mapenzi yalituzidi mpaka ilifika kipindi tunajifungia gesti toka saa nne asubuhi mpaka kumi na mbili jioni, khadijaa mtoto wa kondoa ilikuwa arusha hiyo wadau, nakumbuka my bro alisafiri km wiki hivi khadija alikuwa anaishi na dada'ke pale mitaa ya shamsi kwa vile ilikuwa jirani na home basi usiku alikuwa anatoroka. eti anafunga uzi wa kushonea kwenye mguu wake halafu anautolea dirishani basi mie ikifika saa nne usiku naenda dirishani nauvuta ule uzi anashtuka tunasepa kuibanjua amri ya sita. dah khadijaa mtoto wa kirangi maskini walimkeketa lkn kwa uwezo wangu niliweza kumfikishaa kileleni. warangi wazuri bana lkn pale arusha hawana sifa nzuri.

Sounds like a promo, sina mbavu.
 
Back
Top Bottom