Napenda mweusi mnene
Napenda mweusi mnene
Hahahah...
eti ......? Me au ke
me kaka
mtafute huyu.me kaka
Kama ingekuwa ni ugonjwa ningesema nakaribia kukata kauli kwa jinsi mapigo ya moyo yanavyonienda mbio nimuonapo binti huyu. Arabela nakupenda sana nipe pumziko ndani ya moyo wako. Ni jambo lipi jema zaidi ya kumwambia mtu "NAKUPENDA"
Napenda mweusi mnene
mbona umefurahi?
I wish ningeweza kutimiza vigezo vyako bibie.
Nimependa chaguo lako...
zuri eeh? Hujambo lakin?