Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,190
^^
Bila shaka wewe si mgeni katika safari ya maisha!
Hata kuwa na uwezo wa kuingia ktk mitandao na kuchangia fikra zako basi ni dalili njema kuwa una ufahamu.
...
Kuna watu katika maisha wanatafuta mafanikio na kama tujuavyo,faraja ya wengi ni kupata ndoa yenye amani upendo na furaha.Hapo ndipo ilipo hamu ya kutafuta pesa,jumba,gari na malengo mengi.
...
Lakini kwa nini hupati mwenza mnaendana nae? Kwa nini siku zote wanaokuja kwako sio wale wanaokufaa mahitaji yako? Kwa nini muda unapita na jamii inakushangaa tu uko pale pale? Maswali ni mengi na majibu hali kadhalika
...
Moja ya jambo usilolizingatia ni kuwa UNAVUTA WATU WA AINA YAKO PASIPO WEWE KUJUA.
...
Saikolojia inasema siku zote,kuna watu ni wepesi kuchangamana na wenzao,wengine husita,huhoji na hata kutopenda makundi.
Ndivyo yalivyo maisha yako,kama una mashaka jikague!
...
Ukipenda kuvaa ovyo ovyo utawavuta watu wa aina yako,Ukipenda kusema kwa usitaarab ndivyo wakuzungukao watakavyosema "fulani mchangamfu",Fulani mwungwana,Fulani hafai,Unataka kumuoa fulani? Achaaa sikushauri n.k
...
Mfano rahisi,kuna watu wanakuja humu Jf kutafuta Mke mwema au Mume mwema,,lakini wanawakosa..mtu anasema 'nataka wa kunigegeda' basi utawavuta wa aina hiyo.
...
UNAVUTA WATU WA AINA YAKO.
Unapochangia jukwaani,unapoishi ulipo,unapokuwa ofisini,bado ukweli unasimama unavuta watu wa aina yako.
Ukiwa mtu wa kuthamini nje ya mtu mf.urefu ufupi,uzuri,mavazi n.k utawavuta wa aina yako.
Ukiwa mtu wa kuthamini ndani ya mtu mf. Busara,utu wema,msimamo na utulivu utawapata wa aina yako.