Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,172
- 26,907
Naam
Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa .
Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu
Viatu vya mguu wangu gharama sana
Dukani ukitaka vile vya ngozi sio chini ya 100k
Na vya mtumba vya ngozi sio chini ya 35k
Vitu vya mtaani vile wanavyopanga vya buku kumi kumi havinifai maana stail yangu kutembea nashusha kishindo Cha haja ardhini .Nimejaribu sana kuacha hio tabia kutembea kiminyato
nimeshindwa
Wakati mwingine naweza pata viatu hivyo vya saizi yangu still vinakuwa vinanibana bado
Hii ni kutokana na mguu wangu mmoja una dole kubwa sana na pana
Daah Ni changamoto kweli
Wewe je unavaa sauzi gani ya kitu.?
Ni changamoto zipi unapitia?
Karibuni watanashati na wanalimbwende
Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa .
Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu
Viatu vya mguu wangu gharama sana
Dukani ukitaka vile vya ngozi sio chini ya 100k
Na vya mtumba vya ngozi sio chini ya 35k
Vitu vya mtaani vile wanavyopanga vya buku kumi kumi havinifai maana stail yangu kutembea nashusha kishindo Cha haja ardhini .Nimejaribu sana kuacha hio tabia kutembea kiminyato
nimeshindwaWakati mwingine naweza pata viatu hivyo vya saizi yangu still vinakuwa vinanibana bado