Unforgettable JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 5,582 Reaction score 12,444 Mar 31, 2021 #1 'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man' Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani.
'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man' Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,670 Reaction score 97,405 Mar 31, 2021 #2 Au nywele nywele huwezi zitoa.
Unforgettable JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 5,582 Reaction score 12,444 Mar 31, 2021 Thread starter #3 Mad Max said: Au nywele nywele huwezi zitoa. Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16]
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,956 Apr 5, 2021 #4 Unforgetable said: 'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man' Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani. Click to expand... Hii pia inawezekana ikawa ni fasiri yake:- (kuna tofauti kati ya tafsiri na fasiri, translation and interpretation). Ni rahisi kwa mtu kuacha maovu lakini haiwezekani kwa maovu kumuacha mtu.
Unforgetable said: 'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man' Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani. Click to expand... Hii pia inawezekana ikawa ni fasiri yake:- (kuna tofauti kati ya tafsiri na fasiri, translation and interpretation). Ni rahisi kwa mtu kuacha maovu lakini haiwezekani kwa maovu kumuacha mtu.
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,841 Reaction score 11,775 Apr 6, 2021 #5 Unforgetable said: 'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man' Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani. Click to expand... Mfano mzuri ni rais wa awamu ya 5, licha ya kujitutumua kusoma ila ushamba bado ulitawala fikra zake.
Unforgetable said: 'You can remove a man from the bush but you cant remove a bush from a man' Tafsiri yangu kwa uelewa wangu ni unaweza mbadilisha mtu(kike/kiume) kwa nje lakini huwezi mbadilisha kwa ndani. Click to expand... Mfano mzuri ni rais wa awamu ya 5, licha ya kujitutumua kusoma ila ushamba bado ulitawala fikra zake.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,877 Reaction score 193,811 Apr 7, 2021 #6 Unaweza kumtoa binadamu kwenye kichaka... Ila kama hataki kunyoa huwezi kukitoa kichaka kwa binadamu...
Unaweza kumtoa binadamu kwenye kichaka... Ila kama hataki kunyoa huwezi kukitoa kichaka kwa binadamu...