Lakini wakununua sio wazuri ... sasa watasaidiaje kuongeza kujiaminTafuta hela watajitongozesha kwako wenyewe au kama ukishindwa, anza kununua wale wadada wanaojiuza ili ujifunze kupunguza aibu mbele za wadada wa mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Automatically wakt now am 22Tulia ukujiona bado muoga bado mda ujafika haya mambo yanakuja automatically
Chaputa bado tunakuhitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi situmiagi vileviKunywa k-vant chupa ndogo changanya na safari lager, hapo utatimiza lengo lako tu bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Dam imeshachemka sasa tatizo nnaona aibu sana nnaogopa... sasa sijui nifanyajeKua kwanza, hayo ya wasichana yatakuja tu!
Tulia nafsi bado haikubaliani na mawazo yako.
Muda muafaka ukifika woga wote utakua historia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinacho kuogopesha ni nn kama sio utotoDam imeshachemka sasa tatizo nnaona aibu sana nnaogopa... sasa sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Magonjwa small change tu kama corona tu tumeizoea sembuse hivKunywa Alkasusu ikikuendesha utajua tu kuwatongoza.. wakasusure dada zetu lkn kuna magonjwa Kama HIV ikifuatiwa na AIDS pamoja na UKIMWI ukiambatana na NGOMA ikisindikizwa na UMEME..[emoji12]
Ndo ushauri naomba sasa niwe natumia njia gan nikabiriane na mapungufu yangu
Kuna tofauti Kati ya HIV na UMEME shauli yako 😜
Tafuta pesa kwa bidii, ukiwa na pesa confidence huja automaticallyLakini wakununua sio wazuri ... sasa watasaidiaje kuongeza kujiamin
Sent using Jamii Forums mobile app