Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,488
Nafikiri yupo copy yake...Ndiooo...kwani mama Naah mwingine yupo?
Ulienda wapi eti baba Naah
Nafikiri yupo copy yake...Ndiooo...kwani mama Naah mwingine yupo?
NimeshawasiliNamsubiria akuje
Kwenu ni kitui?!SawaNimeshawasili
Mauno ya kitanga.Wengine tulishaoa kitambo lakini kuna siku unasema piga ua lazima niende kule.....
Mimi kwakweli ni ile nyonga laini kwa kweli sio kingine.
Wenye michepuko yetu twende pamoja
Twende ule uzi wa home hebu...tunaaribu uzi wa watu..Mmmh
Masuala ya kungwi hatakisi umfunde mama ajibu mapigo..au msogezee kwa kungwi mmoja matata
Hngera mkuu ila weka vizuri pasiwedi zako. Juzi zimepigwa sana kwa jiran. Mama aligundua baba anafanya michezo hii huko kitaani.