Unauliza Maandamano ijumaa

Unauliza Maandamano ijumaa

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
wewe mtu wa ajabu sana;

Unauliza maandamano ijumaa,

Unauliza ujauzito matenite ward

unauliza rais ajae bongo wakati eddo unamuona
 
Unauliza habari za mskiti chadema.Au unamuliza habari za Zitto Slaa
 
Unauliza kama papa ni roman katolik au muhammad kama ni muislam
 
Unauliza ujinga na umasikini kwa CCM?
Unauliza kanzu Uarabuni ama mapengo nursery??
 
Unauliza kwenye migodi kama kuna viwanja vya ndege?
Unauliza ubinafsishaji ulimnufaisha BEN?
 
Unauliza ------ ya ng'ombe wakati unauona mkia
 
Back
Top Bottom