Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Jan 23, 2016 #2 Hahaha huyu kazidi
ikhatibu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 2,498 Reaction score 2,493 Jan 23, 2016 #3 Hahahahahahaha. Nzi huyo anapita.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Jan 23, 2016 #4 Hivi Pono ni nini hasa.......?.....
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jan 23, 2016 #5 Preta said: Hivi Pono ni nini hasa.......?..... Click to expand... Aina flan ya samaki hv wa baharin...huwa ni mzembemzembe na ana tabia ya kulalalala....mi ndo nlivoskiaga hvo
Preta said: Hivi Pono ni nini hasa.......?..... Click to expand... Aina flan ya samaki hv wa baharin...huwa ni mzembemzembe na ana tabia ya kulalalala....mi ndo nlivoskiaga hvo
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,339 Reaction score 16,799 Jan 23, 2016 #6 Ha ha ha ni wa kile chama cha upinzani cha Dar
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Jan 23, 2016 #7 Joseverest said: Aina flan ya samaki hv wa baharin...huwa ni mzembemzembe na ana tabia ya kulalalala....mi ndo nlivoskiaga hvo Click to expand... Sasa si atakuwa anaokotwa badala ya kuvuliwa......?.... Hebu Amavubi lete picha ya pono.........
Joseverest said: Aina flan ya samaki hv wa baharin...huwa ni mzembemzembe na ana tabia ya kulalalala....mi ndo nlivoskiaga hvo Click to expand... Sasa si atakuwa anaokotwa badala ya kuvuliwa......?.... Hebu Amavubi lete picha ya pono.........
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Jan 23, 2016 #8 Kalala kweli huyo au anaigiza??
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,759 Reaction score 197,412 Jan 23, 2016 #9 Njaaa mbaya sana. Alafu uwe huna pesa ndiyo inakuchimba balaaa..
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,896 Jan 23, 2016 #10 Joseverest said: Aina flan ya samaki hv wa baharin...huwa ni mzembemzembe na ana tabia ya kulalalala....mi ndo nlivoskiaga hvo Click to expand... .....usingizi wake sio wa kitoto,anavuliwaga anaenda kugutuka yupo kwenye kapu la mvuvi,mtu akikwambia unalala usingizi wa pono amekutukana tusi baya sana.
Joseverest said: Aina flan ya samaki hv wa baharin...huwa ni mzembemzembe na ana tabia ya kulalalala....mi ndo nlivoskiaga hvo Click to expand... .....usingizi wake sio wa kitoto,anavuliwaga anaenda kugutuka yupo kwenye kapu la mvuvi,mtu akikwambia unalala usingizi wa pono amekutukana tusi baya sana.