Unaujua Usingizi wa PONO?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,145
13,216
12459946_1495518777421307_841188512_n.jpg
 
Aina flan ya samaki hv wa baharin...huwa ni mzembemzembe na ana tabia ya kulalalala....mi ndo nlivoskiaga hvo
.....usingizi wake sio wa kitoto,anavuliwaga anaenda kugutuka yupo kwenye kapu la mvuvi,mtu akikwambia unalala usingizi wa pono amekutukana tusi baya sana.
 
Back
Top Bottom