Unaujua ukweli kuhusu hili...?!

Unaujua ukweli kuhusu hili...?!

Magwero

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
243
Reaction score
75
Ni miaka mingi sasa tangu najitambua,,mikasa ni mingi na mengi ya kujifunza...
Kwa hili naomba nijifunze kwenu...
Je ni SHERIA,TARATIBU,UTASHI AU MBINU ZA KIBIASHARA kutumia majina ya wanyama kutangaza bidhaa...?!
Achana na Biashara zote leo 2zungumzie CEMENT..?!
TWIGA CEMENT
SIMBA CEMENT
TEMBO CEMENT
FARU(RINHO)CEMENT
NK...
Mchada kwene tuta..
 
Ni chaguo la mwenye kiwanda ukitaka unaweza kuita bidhaa yako sisimizi au kenge
 
haufikiri kwaweza kuwa na sababu nyingine ya Zaidi...
Kwanini wote wachague wanyama au ipi unaijua nyingine aina jina la mnyama..?
 
Ni miaka mingi sasa tangu najitambua,,mikasa ni mingi na mengi ya kujifunza...
Kwa hili naomba nijifunze kwenu...
Je ni SHERIA,TARATIBU,UTASHI AU MBINU ZA KIBIASHARA kutumia majina ya wanyama kutangaza bidhaa...?!
Achana na Biashara zote leo 2zungumzie CEMENT..?!
TWIGA CEMENT
SIMBA CEMENT
TEMBO CEMENT
FARU(RINHO)CEMENT
NK...
Mchada kwene tuta..

mkuu kuna Kilimanjaro cement na sio jina la mnyama.
 
Ni miaka mingi sasa tangu najitambua,,mikasa ni mingi na mengi ya kujifunza...
Kwa hili naomba nijifunze kwenu...
Je ni SHERIA,TARATIBU,UTASHI AU MBINU ZA KIBIASHARA kutumia majina ya wanyama kutangaza bidhaa...?!
Achana na Biashara zote leo 2zungumzie CEMENT..?!
TWIGA CEMENT
SIMBA CEMENT
TEMBO CEMENT
FARU(RINHO)CEMENT
NK...
Mchada kwene tuta..

Ni mojawapo ya alama za u-frimanson...
 
Hahahaaa swali la kizushi, kwani Mmiliki wa Tembo Cement ana uhusiano wowote ule na mtu yoyote wa Tanzania?
 
haufikiri kwaweza kuwa na sababu nyingine ya Zaidi...
Kwanini wote wachague wanyama au ipi unaijua nyingine aina jina la mnyama..?

labda kwa umaarufu wa hao wanyama lakini twiga cement ndiyo ya kwanza kutengezwa hapa tz kwa chapa ya jina ya mnyama twiga
 
Ni miaka mingi sasa tangu najitambua,,mikasa ni mingi na mengi ya kujifunza...
Kwa hili naomba nijifunze kwenu...
Je ni SHERIA,TARATIBU,UTASHI AU MBINU ZA KIBIASHARA kutumia majina ya wanyama kutangaza bidhaa...?!
Achana na Biashara zote leo 2zungumzie CEMENT..?!
TWIGA CEMENT
SIMBA CEMENT
TEMBO CEMENT
FARU(RINHO)CEMENT
NK...
Mchada kwene tuta..

Kwanza tuanzie usajili wa majina ya biashara.
wanza lazima usajili kampuni pale Brela katika kusajili unaeleza nini lengo la biashara yako. Ikishasajiliwa ni halali kisheria.
Twende kwanini majina ya makampuni ya cement hutumia majina na brand za wanyama.
Cement ni bidha ambayo inatakiwa kuwa strong ili kuweza kumudu hali halisi. Kama Cement itakuwa dhaifu itapoteza soko. Ili kumridhisha mteja kuwa Cement husika inanguvu na ni bora wanyama wakubwa wenye maguvu wametumika pale ilipobidi. Mfano kama ulivyoutoa hapo juu kama vile
RHINO CEMENT ambayo makao makuu yapo hapa Upanga na kiwanda kipo Mkuranga njia ya kwenda Mtwara ukipita Kongowe ya Mbagala na kule Tanga karibu kabisa na Tanga Cement.
TEMBO CEMENT iliyoko Mbeya
TWIGA CEMENT ya Tegeta.
SIMBA CEMENT ya Tanga.

Hata mimi ningeweza kuanzisha kampuni ya cement ningipa jina la DINOSAURIOS CEMENT.
Asante sana!!!
 
Ni maamuzi/mazoea/kuhedhi/, mfano ali hasssan mwinyi road, keneth kaunda road, nyerere road, mandela road, patrice lumumba road, sokoine road..mfano kiwanda kimoja kingeanza kuitwa Jicho cement, wengine wangekuja na kichwa cement, mbavu cement, upaja cement n.k ....(brand name muhim sana ktk business)
 
Ujue nn,kiushindani inabidi uanze kwa kufanana kidogo na mshindani wako bila kuvnj sheria.Ndio maana azam,azania.Kisaikolojia mteja atanunua yyte akiamini zinafanana kwa ubora.
 
Ni miaka mingi sasa tangu najitambua,,mikasa ni mingi na mengi ya kujifunza...
Kwa hili naomba nijifunze kwenu...
Je ni SHERIA,TARATIBU,UTASHI AU MBINU ZA KIBIASHARA kutumia majina ya wanyama kutangaza bidhaa...?!
Achana na Biashara zote leo 2zungumzie CEMENT..?!
TWIGA CEMENT
SIMBA CEMENT
TEMBO CEMENT
FARU(RINHO)CEMENT

Mchada kwene tuta..

Mi Nadhani ni katika kuonesha how strong it is maana wanatumia wanyama ambao kwa TZ wanaitwa BIG FIVE
 
Kwanza tuanzie usajili wa majina ya biashara.
wanza lazima usajili kampuni pale Brela katika kusajili unaeleza nini lengo la biashara yako. Ikishasajiliwa ni halali kisheria.
Twende kwanini majina ya makampuni ya cement hutumia majina na brand za wanyama.
Cement ni bidha ambayo inatakiwa kuwa strong ili kuweza kumudu hali halisi. Kama Cement itakuwa dhaifu itapoteza soko. Ili kumridhisha mteja kuwa Cement husika inanguvu na ni bora wanyama wakubwa wenye maguvu wametumika pale ilipobidi. Mfano kama ulivyoutoa hapo juu kama vile
RHINO CEMENT ambayo makao makuu yapo hapa Upanga na kiwanda kipo Mkuranga njia ya kwenda Mtwara ukipita Kongowe ya Mbagala na kule Tanga karibu kabisa na Tanga Cement.
TEMBO CEMENT iliyoko Mbeya
TWIGA CEMENT ya Tegeta.
SIMBA CEMENT ya Tanga.

Hata mimi ningeweza kuanzisha kampuni ya cement ningipa jina la DINOSAURIOS CEMENT.
Asante sana!!!

i get u sana..
 
Ni maamuzi/mazoea/kuhedhi/, mfano ali hasssan mwinyi road, keneth kaunda road, nyerere road, mandela road, patrice lumumba road, sokoine road..mfano kiwanda kimoja kingeanza kuitwa Jicho cement, wengine wangekuja na kichwa cement, mbavu cement, upaja cement n.k ....(brand name muhim sana ktk business)

ha,ha,ha...
Nawaelewa sana ila umenichekesha..
 
Hahahaaa swali la kizushi, kwani Mmiliki wa Tembo Cement ana uhusiano wowote ule na mtu yoyote wa Tanzania?

katibu mkuu wa kichaka flani......kitachomwa 2015..
 
mimi nashangaa! Viwanda vyote hivo na bei mfuko wa simenti ipo juu! Bora tuwanyangánye nchi hawa magamba ili tushushe bei angalau buku 5.
 
bora hawa wengine amekuja kilwa cement...
 
Back
Top Bottom