Ila kuwa mwangalifu,
Utapata kitambi afu pafomensi ishuke zaidi
Asante kwa mapishi, mie nimezoea kupika mtori wa kienyeji
Ila kuwa mwangalifu,
Utapata kitambi afu pafomensi ishuke zaidi
Asante kwa mapishi, mie nimezoea kupika mtori wa kienyeji
Mimi pia tena wa kule kwetu mindizini..
@Speaker, leo una appetite kweli..naona uliposikia mtori umekimbia gengeni, angalia usichane bwana!! Thanx kwa recipe
We ndo ume nikumbusha bana,....ila kazi ya jioni hiyo lazima niukule leo.
Raha ya mtori uwe wa motoooooooooo.
ungeweka picha,ingependeza zaidi.wengine tushibe kwa kuangalia picha tu
Yaani huu uzi wako umenichanganya kabisa! Maana huku nilipo sioni namna ya kupata mtori mchana huu, na njaa ndo inazidi lkn kila nikiwaza nile nini nasikia tu sauti za ndani; Mtori! Mtori! Mtori...!!! Yaani ni noma mkuu.Ohoooo,mda wa lunch lakini huu bana.
Au ulitaka ku-skip chakula?
Sio vizuri wahi mapemaaaaa,...
View attachment 48122
Ila mtori mzuri ni wa nyumbani kwako sio wa magengeni au hotelini
Na ukule jioni au asubuhi.
Yaani huu uzi wako umenichanganya kabisa! Maana huku nilipo sioni namna ya kupata mtori mchana huu, na njaa ndo inazidi lkn kila nikiwaza nile nini nasikia tu sauti za ndani; Mtori! Mtori! Mtori...!!! Yaani ni noma mkuu.