Unatumia WhatsApp jihadhari sana

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Kuna Whatsapp inaitwa pink unaijua !!

View attachment 2671335

Watumiaji wa WhatsApp mjihadhari Kuna Whatsapp mpya inaitwa Pink WhatsApp ambayo unaweza kuambiwa uipakue kwenye simu yako ni kirusi ?

WhatsApp ni mtandao mpana sana wa watu kuweza kutumiana jumbe mbalimbali pia wadukuzi wengi wamekua wakitumia huo huo mtandao kuweza kutapeli watu kwa njia kadhaa.

Kila siku wadukuzi wanatengeneza WhatsApp ambazo hatarishi na kuweza kuwaathili watu Kuna Whatsapp inaitwa pink WhatsApp au WhatsApp pink unaijua !!

View attachment 2671336

Baadhi ya watu watumiaji wa WhatsApp wamekumbukana na changamoto ya kutumiwa link ya WhatsApp inaitwa pink waweze kudownload kupitia simu zao , ni new version ya WhatsApp inakuja ikiwa na rangi ya pink ndani yake (pink themes)

Ni WhatsApp fake unajua changamoto Gani utakutana nazo uki install kupitia simu yako

View attachment 2671334

• unaweza tumiwa link yenye kirusi ndani yake kuweza kudownload iyo WhatsApp

• link iyo hatarishi inaweza kukusababishia matatizo kadhaa kwenye simu yako kama vile kuganda Ganda pamoja na kuweza kuwaathili watu wako wengine

• matangazo yanayojitokeza Kila mara kwenye simu baada ya kuinstall usababisha simu kupata joto

• pia wadukuzi wanakua na uwezo wa ku control simu yako watakavyo.

• pamoja na kuweza kuchukua baadhi ya taarifa Toka kwako kama vile picha, message pamoja na contact zako na kuziuza.

IMG_20230628_085626_950.jpg

Jihadhari na link unazotumiwa za kufanya update ya WhatsApp yako kumbuka kama unahitaji kufanya update ya WhatsApp yako ni muhimu kuifanya kupitia soko la play store pamoja app store pekee sehemu zingine jihadhari.

Vipi unatumia WhatsApp Gani kwenye simu yako tuambie tujue si unajua Teknolojia ni Yetu sote ?

images%20-%202023-06-28T081710.625.jpg
 
View attachment 2671337

Jihadhari na link unazotumiwa za kufanya update ya WhatsApp yako kumbuka kama unahitaji kufanya update ya WhatsApp yako ni muhimu kuifanya kupitia soko la play store pamoja app store pekee sehemu zingine jihadhari.

Vipi unatumia WhatsApp Gani kwenye simu yako tuambie tujue si unajua Teknolojia ni Yetu sote ?

View attachment 2671338

Sasa ww una download kitu ambacho sio official? Unategemea nini?
 
au vipi, si ukute kuna mishe za kutengeneza mpunga huko sasa mwamba anataka afaidi peke yake. fanya practical nenda kathibitishe afu ukirudi utupe mrejesho.
Anataka afaidi mwenyewe.

Learning by doing (experience) ni nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom