Unatumia soda gani?

natumia cocacola na pepsi sometimes,ila now natamani ninywe BIG COLA kwa mda nijue ladha yake
 
Ahsante farkhina huko nitokako hawajambo na wanakusalimu saaana ila tumechelewa sana sababu basi liliharibika njiani!!!!!!

Aaaaanh japo si mpenzi sana wa soda ila ndo ugenini sasa!!!!

Fanya hivi wakati nasubiri maji ya kuoga nifungulie Coke, hii fanta weka frijini ntainywa wakati wa kula maana hii kama juisi tu, pepsi hiyo ntashushia baaadae wakati nangalia habari ya saaa nne usiku!!!!!!

Big Coka niwekee chumbani kabisa maana mim kwa kiu za usiku ndio mwenyewe yaani nikitoka tu kukojoa napumzika kidogo halafu napiga pafu mbili tatu then nalala aaaaanh mpaka asubuhi litakuwa kwisha habari yake!!!
 
Huu ni ubaguzi wa rangi.

ndo maana sitakaa nifungamane na wazungu nikikumbuka walivyowafunga minyororo mababu zetu na kuwatembeza umbali mrefu huku wenyewe wakiwa wamebebwa.
 
Hiyo BIG COLA inapatikana wapi??????
Nadhani Radha yake ni nzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…