sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Dec 10, 2013 #41 Kaizer said: eti sister hapa tunaongelea aina za biya au??:A S-confused1: Click to expand... Hahaaa mwe...haya bwan.. Wanaongelea kunukia.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: eti sister hapa tunaongelea aina za biya au??:A S-confused1: Click to expand... Hahaaa mwe...haya bwan.. Wanaongelea kunukia..
Hornet JF-Expert Member Apr 29, 2013 26,120 49,495 Dec 10, 2013 #42 Kaizer said: eti sister hapa tunaongelea aina za biya au??:A S-confused1: Click to expand... hahahaa Kaizer tuanzishe kathread ketu ka aina za biya.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: eti sister hapa tunaongelea aina za biya au??:A S-confused1: Click to expand... hahahaa Kaizer tuanzishe kathread ketu ka aina za biya..
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Dec 10, 2013 #43 Sweet potato said: umetsha!!!! Click to expand... Maisha yalikuwa poa sana miaka ile...!?
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,205 18,475 Dec 10, 2013 #44 sister said: Uko kwenu kuna mambo gani? Click to expand... vumbi tu kwa kwenda mbele.....
Kaizer Platinum Member Sep 16, 2008 25,320 17,823 Dec 10, 2013 #45 sister said: Hahaaa mwe...haya bwan.. Wanaongelea kunukia.. Click to expand... sister wanaonukia si kama nyie nadhani sie wanaume haituhusu....au? Cc Asprin Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sister said: Hahaaa mwe...haya bwan.. Wanaongelea kunukia.. Click to expand... sister wanaonukia si kama nyie nadhani sie wanaume haituhusu....au? Cc Asprin
Kaizer Platinum Member Sep 16, 2008 25,320 17,823 Dec 10, 2013 #46 Jawilat said: hahahaa Kaizer tuanzishe kathread ketu ka aina za biya.. Click to expand... Umeona eeh.....nadhani katapata wafuasi wa kutosha Jawilat.....mi hapa nipo nje kabisa yaani sielewi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jawilat said: hahahaa Kaizer tuanzishe kathread ketu ka aina za biya.. Click to expand... Umeona eeh.....nadhani katapata wafuasi wa kutosha Jawilat.....mi hapa nipo nje kabisa yaani sielewi
Sweet potato Member Nov 14, 2013 60 24 Dec 10, 2013 #47 Baba V said: Maisha yalikuwa poa sana miaka ile...!? Click to expand... lkn hta sasa waweza paka lotion ya kris. Yan mita 100 toka ulpo wanaskia kunukia kwako
Baba V said: Maisha yalikuwa poa sana miaka ile...!? Click to expand... lkn hta sasa waweza paka lotion ya kris. Yan mita 100 toka ulpo wanaskia kunukia kwako
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Dec 10, 2013 #48 kabanga said: vumbi tu kwa kwenda mbele..... Click to expand... Hahaa..sasa mnatumia nini ili kuondoa ile harufu ya hilo vumbi linalochanganyikana na jasho..?
kabanga said: vumbi tu kwa kwenda mbele..... Click to expand... Hahaa..sasa mnatumia nini ili kuondoa ile harufu ya hilo vumbi linalochanganyikana na jasho..?
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Dec 10, 2013 #49 Kaizer said: sister wanaonukia si kama nyie nadhani sie wanaume haituhusu....au? Cc Asprin Click to expand... Sasa kama haiwahusu wanaume mbona bidhaa zenu zipo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: sister wanaonukia si kama nyie nadhani sie wanaume haituhusu....au? Cc Asprin Click to expand... Sasa kama haiwahusu wanaume mbona bidhaa zenu zipo?
Kaizer Platinum Member Sep 16, 2008 25,320 17,823 Dec 10, 2013 #50 sister said: Sasa kama haiwahusu wanaume mbona bidhaa zenu zipo? Click to expand... sister sio wanaume wote wanaozitumia hizo,,,, Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sister said: Sasa kama haiwahusu wanaume mbona bidhaa zenu zipo? Click to expand... sister sio wanaume wote wanaozitumia hizo,,,,
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Dec 10, 2013 #51 Kaizer said: sister sio wanaume wote wanaozitumia hizo,,,, Click to expand... Ok..nimekuelewa.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016