Unatumia Smart Collection ipi? (Kwa Makabwela wenzangu)....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Good afternoon madam,
Dont be offended, ofcourse am kidding! Salaam wakuu, kwa hakika mambo ya unyunyu ni unisex maana kila mtu anapenda kunukia vizuri tu. Sasa katika maswala ya categories za minukio, here am talking bou' body-sprays.
Body sprays zipo za aina nyingi sana na prices zina range tofauti maana nimeambiwa kuna hadi body spray za laki tano pesa taslim. Sasa kuna wale wenzangu na mimi ambao tunapenda tu kunukia fresh na sisi japo kwa low cost kidogo. Ndipo tunapoangukia kwa mkombozi wetu Smart Collection. Kwa buku tano tu, unaweza ukafanania angalau harufu na hiyo nyingine ambayo wanakua wamejaribu kucopy na kupaste.
Sasa si unajua kila mtu ana aina yake ambayo anaipenda mwenyewe? Lucchese personally natumiaga zangu Smart Collection No.40- COOL WATER FOR MEN na Smart Collection No.52 - L'EAU D'ISSEY (ISSEY MIYAKE) POUR HOMME.
smart.jpg
So, wewe unatumia ipi? #LazyAfternoon
 
Zamani nlikuwa natumia cool water for men ila zikaja kuchakachuliwa ikawaje sijui.
Nikahamia rasasi admire ha ha ha siku nlipogundua VS chocolate sijahama ng'oo nanukia chocolate chocolate tu
 
Zamani nlikuwa natumia cool water for men ila zikaja kuchakachuliwa ikawaje sijui.
Nikahamia rasasi admire ha ha ha siku nlipogundua VS chocolate sijahama ng'oo nanukia chocolate chocolate tu

Hahah mkuu ebu nipe siri ya VS chocolate, nayo n ismart collection?
 
Back
Top Bottom