Mkuu nakukubali,huwa uko fasta kweny kucomment kisha karibia kila uzi unapatkanaNgoja waje wajuzi wa 'what's up' mkuu
kawaida mkuu..Mkuu nakukubali,huwa uko fasta kweny kucomment kisha karibia kila uzi unapatkana
Fanya Ku Share Copy and PasteJaman nilikua naomba kuuliza nifanyaje ili niweze tuma link ya what's up uku jamii forum, maana nimejaribu wee silewi naona nashindwa tuu.