Unatongoza demu kwa sms150

Vivulana vya sasa mnahangaika na misimu yenu mikuubwa haina hata salio la M/tigo pesa.Kazi yenu kutuma tuma vipicha vya ngono ukidhani wasichana wanashawishika,thubutuu.Tengeneza ka trade account (style ya kumpata) wakati huo huo unakua umejipanga kwenye operating cost.Sisi babu zenu hatujali sana financial account ( P&L) kama itasoma loss.Endeleeni kuzilemba SMS zenu na vi iPhone sijui Samsung zenu,sisi tunatumia simu za torch ambazo hata kwenye uchochoro wa giza tunatumia kuhesabia fedha za kumwachia kigori
 
Hahahaha wach

Wacha tupate huduma Kona bar
 
Back
Top Bottom