Unatoa wapi jeuri ya kulewa katikati ya wiki?

Unatoa wapi jeuri ya kulewa katikati ya wiki?

Salam!

Huwa nashangaa sana katikati ya wiki (j4 mpk Alhamisi) mtu anakunywa pombe mpaka mid night huku akijua kesho saa 1:30 asubuhi anaamkia kazini.

Binafsi nakunywa pombe lakini ni siku mbili tu za wiki yaani Ijumaa na Jmos, na nakesha club au bar! Jumapili sinywi pombe kabisa maana kesho yake naamkia kazini.

Zamani niliwahi kuamka na hang over siku ya juma3, ilinitesa sana kuhudumia watu kazini. Hamna kitu sikipendi kama kuwa na hangover kazini.
Usiige watu fuata msimamo wako kuna watu hawawezi kufanya shughuli zao mpaka wanywe pombe na mambo yanaenda.
 
Ukiifata JF utapotea humu Kila mtu tajiri , wamejiajiri Wana makampuni sijawahi kuona mtu analia njaa humu
 
Uwe unaenda kazini asubuhi au unaenda kwenye biashara yako, pombe siyo kitu kizuri. Mungu anakataza na wanaokunywa wote hawataingia mbinguni. (Jaribuni kutafakari hili wakati mkiendelea kuchangia hii mada iliyoletwa).
Vp unaeishabikia ccm utaingia mbinguni?
 
Back
Top Bottom