Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Salam!
Huwa nashangaa sana katikati ya wiki (j4 mpk Alhamisi) mtu anakunywa pombe mpaka mid night huku akijua kesho saa 1:30 asubuhi anaamkia kazini.
Binafsi nakunywa pombe lakini ni siku mbili tu za wiki yaani Ijumaa na Jmos, na nakesha club au bar! Jumapili sinywi pombe kabisa maana kesho yake naamkia kazini.
Zamani niliwahi kuamka na hang over siku ya juma3, ilinitesa sana kuhudumia watu kazini. Hamna kitu sikipendi kama kuwa na hangover kazini.