" Unathibitishaje Uchochezi kwa kupima mkojo ?...hamjapata order ya hakimu, hamjaona mkojo wangu."

..kweli TL ni kiboko yao.

..tangu aulize swali hilo hatujasikia tena habari ya watu kupimwa mkojo.

..huyu jamaa ni mtu wa mizaha na mchekeshaji.

..kuna wanasiasa wachache sana nchi hii wanaoweza kuelezea mambo mazito kwa ufasaha na wakitumia lugha za mizaha kama TL.

Hapo mimi muda wote nilikuwa na muangalia Mhe Mwita Waitara, nilichojifunza kwake nikuwa usaliti aliuanza zamani maana uso wa msaliti unajionyesha, hii ya juzi kuunga mkono juhudi ilikuwa ni hitimisho tu ila inaonekana ameihujumu CHADEMA muda mrefu. Hebu na wewe mwangalie kwa makini Mh Waitara kwenye hiyo clip hapo juu!.
 
kwakweli huu ulikua ni upumbavu, yaani kesi ya uchochezi mtu anaenda kupimwa mkojo? hongera yake lissu banaa, ndio maana walitaka kumuua🙏🙏
 
..kweli TL ni kiboko yao.

..tangu aulize swali hilo hatujasikia tena habari ya watu kupimwa mkojo.

..huyu jamaa ni mtu wa mizaha na mchekeshaji.

..kuna wanasiasa wachache sana nchi hii wanaoweza kuelezea mambo mazito kwa ufasaha na wakitumia lugha za mizaha kama TL.

Labda walitaka kuchemshia kande
 
Unajua Jana nimejiuliza sana sababu ya serikali kupeleka mawakili 16 kwenye kesi ya Lissu kupinga kuondolewa ubunge wake nikapata jibu kuwa serikali imeamua itoke mafichoni kudhibitisha kuwa YENYEWE ndio haitaki Lissu awe Mbunge baada ya kusudio la KUTAKA asiwe mkazi wa dunia hii kufeli kwa sababu Mungu kakataa.
Huyu Lissu kuna jambo kubwa sana linakuja ambalo ndio mpango wa Mungu. Hata ufalme wa Daudi hakuna aliye ufikiria utakuwepo kwa huyo mchunga kondoo kondeni.
 
Hapo mimi muda wote nilikuwa na muangalia Mhe Mwita Waitara, nilichojifunza kwake nikuwa usaliti aliuanza zamani maana uso wa msaliti unajionyesha, hii ya juzi kuunga mkono juhudi ilikuwa ni hitimisho tu ila inaonekana ameihujumu CHADEMA muda mrefu. Hebu na wewe mwangalie kwa makini Mh Waitara kwenye hiyo clip hapo juu!.
Huo ndio ukweli mwita ni msaliti na kwenye mision ile ni lazima alihusika
 
Kwa kweli sura ina wimbi la usaliti.
Hapo mimi muda wote nilikuwa na muangalia Mhe Mwita Waitara, nilichojifunza kwake nikuwa usaliti aliuanza zamani maana uso wa msaliti unajionyesha, hii ya juzi kuunga mkono juhudi ilikuwa ni hitimisho tu ila inaonekana ameihujumu CHADEMA muda mrefu. Hebu na wewe mwangalie kwa makini Mh Waitara kwenye hiyo clip hapo juu!.
 
..kweli TL ni kiboko yao.

..tangu aulize swali hilo hatujasikia tena habari ya watu kupimwa mkojo.

..huyu jamaa ni mtu wa mizaha na mchekeshaji.

..kuna wanasiasa wachache sana nchi hii wanaoweza kuelezea mambo mazito kwa ufasaha na wakitumia lugha za mizaha kama TL.

.
 
Back
Top Bottom