Jamani kuna movie inaitwa the colony kuna mtu alishawahi kuiangalia na kama yupo ameishia sehemu gani maana kila nikienda k.koo mwendelezo bado haujatoka mwaka wa tatu huu sasa