Siku hizi kuna hizi simu za mitumba wenyewewe wanakwambia used from Korea Dubai etc sometimes unaenda dukan unakuta IPO full boxed lakini ni refurbished
Sasa wajuzi tupeni mautalaam namna ya kujua kama ni refurbished au brand new
Embu tupeni maujanja tufahamu tofauti [emoji2937]
Wasalaam