figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Kwa hiyo sisi tulio ingia pamoja nae tusipewe heshima? We ungesema tu JF members wote.
hapana. sina maana hiyo. mi namaanisha wale watu ambao anadeal nao kwa sana sana halafu marafiki zangu. na hii sijaiandika kwa nia mbaya. ni kama tahadhari ili asije nikwaza. sema na wewe ungekuwa rafiki yangu halafu ukawa unaonewa hata wewe nakutetea. pole sana. mpoleeee yupo piwa sana sema kuna vitu vidogo vidogo inabidi nmusaidie kumrekebisha ili tuende sawa coz hata yeye ni rafiki. Mia