unataka utoke wkend na mpoleeee?

unataka utoke wkend na mpoleeee?

miaka kadhaa ijayo chit chat itakuwa popular kuliko MMU labda na jukwaa la siasa..

Inapokuwa inatokea hivyo inakuwa ni vizuri kwa JF kwani inaonyesha kuwa watu wengi wanachangia hoja kwenye majukwaa tofauti
 
Vidume endeleeni kutoa sifa zenu achanen na weny wivu nitazikagua kw pamoj.
 

Inapokuwa inatokea hivyo inakuwa ni vizuri kwa JF kwani inaonyesha kuwa watu wengi wanachangia hoja kwenye majukwaa tofauti

chit chat = "Stress relief "..
wengi wana fit hapa.... Sio kama jukwaa la Dini/imani to be honest bado sijaona faida ya hilo jukwaa ( Dini)
 
We mpolee si ndo ulileta thread ya kubakwa humu juzi??????
 
nipo my dear vijambo hapa na pale
nimeweka mihadi mapema usiniangushe

0062.gif
Martini au Coffee
0213.gif
ukitaka tunaweza ku peleka ule mzinga wa siku ile hahahahah lol
 
hahahahahah
ngoja nijilipue na campari/Gin nikisubiri
w/end na chomachoma
usisahau ile chupa blue ilikuwa zaidi

hahahahaha umenichekesha kweli yaani..
Dahh yaani nikija lazima lazima nikubebe ile chupa ya blue ..
maana kila tukiongelea kuhusu starehe zetu lazima ui mention nimecheka kweli lohhhh..
0041.gif
haya hii hapa
 
mwanzo ilikuwa safi siku hizi wamechakachua
w.end lazima nikutengenezee ile.........
hahahhaha mpaka uchanganyikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom