Oooowwww.... How kind of him... Hata mimi nilisaidiwa kuchagua hii yakwangu...Thank you! One of my dear friend in JF gave me that avatar when i joined JF and had no idea where or how to get one...lol
who is that?hashycool????lol
Oooowwww.... How kind of him... Hata mimi nilisaidiwa kuchagua hii yakwangu...
he he he he, mtanivunjia ndoa,nimeanza mwanzo mpya mnavyomtaja mnanirudisha kwenye zilipendwa mnaniumiza sana,kuanzia sasa mtu ukimtaja Hashy,unitumie na Vodka nijiliwaze na niweze kumuelezea wa sasa kwa macho yenye sura ya ukweli kuhusu Hashy...LOL
Sredi inakimbia balaa. Mpoleeee mbona hatupi fidibaki kama keshapata wengine tuwithdroo aplikesheni zetu
Good observation partner!
But I wonder why?
pole saana
na hashy nae anasema hivyo hivyo....lol
we jifanye unajua vijembe. wapi nimesema uhusiano? hasira mpelekee mmeo alokupa huo ujauzito sio mimi, tena unikome. pumbavu zako.
Usinambii na wewe umeapply? lolSredi inakimbia balaa. Mpoleeee mbona hatupi fidibaki kama keshapata wengine tuwithdroo aplikesheni zetu
Wabongo hawapendi kufikiria, wanapenda mijadala isiyo na maana.
He he he, he is surely so kind...na ushamba wangu akanitoa kimasomaso Michelle...lol...he will forever be my friend at JF...lol
Deskmate alinambia atakuja karibuni ila naona kafunguliwa thread ya get well soon.
Niongee na wewe bila kukuona? ulipotea sana siku hizi za sikukuu. Habari ya mwaka mpya?
Kweli kabisa!
Na ndo maana tuko kwenye hali tuliyonayo.
Wabongo hawapendi kufikiria, wanapenda mijadala isiyo na maana.
Lucky him!He he he, he is surely so kind...na ushamba wangu akanitoa kimasomaso Michelle...lol...he will forever be my friend at JF...lol
Mi nina deskmates wawili tu. wa kushoto (wewe) na wakulia (klorokwini)Aaaah kwani unadeskmates wangapi?
thanks mi mwaka mpya umeenda vizuri,heri ya mwaka mpaya na wewe,sijui unaenjoy vipi huu mwaka!
Wabongo hawapendi kufikiria, wanapenda mijadala isiyo na maana.
Mhhhh! Lucky him!!! 🙂🙂