naona membaz wesha ni link na kidume teh teh teh! Jiandkishe uje uhakkshe.
I agree with u! Lkn huwa kuna post nyingine more uharo than huu, zinazoanzishwa na wanaume, hatuzipondi kihivi na mara nyingi tunaparticipate in huo uharoutani!
Mpolee amekuwa akitafuta uceleb; alikaribu kuwa anachangia points, haikumtoa but since amekuwa akipost vitu kama hivi kapata umaarufu in her own way.
Let her be, mradi hajamtusi mtu; it is her personality in stake which can be fake as well!
Mwisho, tuache double standard women also have a right to talk dirty, fantasize, flirty and have fun kama wanaume!
kama ile thread ya bishanga ya kumzalisha mke wa mtu ilikuwa ni crap tupu. Waliochangia karibia wote hawakumwaga povu na kuna wengine walikuwa wanachungulia tu hawacomment. Najaribu kupeleleza kwanini wanawake wakianzisha mambo ya mzaha wanashambuliwa sana badala ya kueleweshwa kiustaarabu kama wamekosea.
Sleep tight Michelle...Good night. 🙂
hahahahahah i'm expressing my feelings ... sometime history can change ..
Do you believe in second chance?...
Night night dearest. . .
Sweet dreams.
mmh!!!:A S-confused1:kasome upya utagundua wamenivunjia mahsiano ya miaka 5 sas nimeamua kula maisha kwenda mble haina maana kuwekeza mahsiano wkt yanavunjika aaarrrgh! Alaf mm c mtoto nishakomaa