Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,722
- 45,129
Unataka ufanye usajili wa straika mmoja tu, sokoni wapo wawili Rashford na Abraham, wewe ungemsajili nani?
Makame mbalawa rashid bila penat ni mwepes sana
Abraham ni habali nyingine ile
mbona unachanganya habari tena,umeambiwa Abrahim na Rashid mpemba we unamtaja marcus vp mzeeRashford anaoffer vitu vingi sana , Mimi ningemchukua Marcus
Makame mbalawa rashid bila penat ni mwepes sana
Abraham ni habali nyingine ile