Unataka SIRI au UWAZI?

Unataka SIRI au UWAZI?

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Hawa ndiyo wanaopenda UWAZI kikweli. Kama unavyoona, wana Sumaku. Nani amevutwa kwao?

35hlnv9.jpg
 
Ni mambo ya Weekend hayo. @Asipirin na Bantu lady , wazima nyie huko? TUKUTUKU wapi weekend?

 
Last edited by a moderator:
Hujakosea Mkuu, ni mambo ya Weekend. Ingelikuwa ni Jumatatu asubuhi, ningelikuwa nimechemsha.

Labda kama wewe mwenzetu Sabath (Sabato) imeshaanza tayari, basi pole sana na samahani.
jamani nimekosea njia samahani sana
 
Back
Top Bottom