Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
Jamaa alisikia tetesi kwamba mkewe analiwa uroda, akafanya tego la kumnunulia chupi tano zote za bluu......
aliporudi nyumbani mkewe akampokea kwa mshangao "mume wangu mbona zote za abluu au unatakwa nichekwe?
Unadhani kilitokea nini baada ya hapo GT?