Unataka mume/boyfriend/mke/girlfriend mwenye pesa....?na wewe kuwa kipesa pesa

Wamekereka eti ndefu but umewagusa vzr... Penda vya bure ndy maana wanaume wazima mwazibuliwa TGo... Shika neno tenda neno

Utakuwa unaipenda ndio 7bu umeitaja.we umeona mfano mzr ndio huo tuu...kwel notes zinalemaza
 
ndo wanamme wa kileo
kazi kutafuta wanawake wenye pesa

afu bado anajiita mwanamme wa kiafirika, afuliwe hadi boksa?
 
Back
Top Bottom