Unataka mke?

Unataka mke?

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,070
"UMRI SIO RAFIKI NITAMLIPA
MSHAHARA ATAKAYE NIOA"

Haya sasa unaambiwa mwanamke mmoja wa Nigeria mwenye makazi yake nchini Ufaransa ameingia kwenye mtandao ya kijamii kutoa tangazo anahitaji Mwanaume wa Kumuoa na akijitokeza atakuwa anamlipa Mshahara kwa Mwezi.

Mwanamke huyo ambae Tayari umri umeenda alidai kuwa kwa sasa anahitaji Mwanaume wa kutulia nae kwani Umri sio rafiki tena kwake

Alifichua kuwa ana mali mbalimbali nchini Nigeria na Ufaransa, hivyo fedha si suala kwake.

Amefunguka kuwa atalipa mshahara wa kila mwezi kwa mwanamume yeyote ambaye yuko tayari kumuoa.

Alipiga magoti kwenye mvua kuwasihi sana wanaume wazame kwenye DM yake na kumwambia nia yao.
 
Kapicha ka hayo matukio aliyofanya mkuu ili hata Matomaso tupate kuamini maneno hayo tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom