daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 148
- 240
Habari Wana JF, nimepata usumbufu sana kwa wakati nafungua kampuni brela, haswa kwenye mambo ya kuanda MEMARTS. MEMARTS yangu ilikataliwa Zaid ya mara tano kwa makosa mbalimbali lkn hatimaye nilifanikiwa. Katika process nimegundua watanzania wengi tunapenda malipo makubwa ambayo hayaendani na kazi tunayoifanya.
Nataka nisaidie vijana wezangu ambao Wana pata shida kwenye uandaaji wa hii document. Hivyo usisite kunitafuta nikusaidie maana bei ya sokoni ya kuandaa hii document ni kubwa mno kuliko kazi yenyewe halisi.
Na pia nitakusaidia kufungua kampuni yako kwa gharama utakayo afford wewe.
Karibuni tuendelezee sekta binafsi .
Whatsapp: 0629706263
Email; kitongatu@gmail.com