Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
sasa hapo umjue ili umuunde wa design yako au hawa hawa tunaowangombania?
ukimaliza hicho kitabua watakuwa wamaeanzisha(wanawake) mambo mengine hivyo unakuwa nyuma ya muda tena,hawa ni kwenda nao kibishikibishi
hahahaaaaaaaa,duuu hapo chachaUkiona hivyo basi unasoma volume 2 itakayokuwa imetoka kwa wakati huo. Teh teh teh!...