Unataka kuwa Mbowe unajiweza

Emar

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Messages
382
Points
500

Emar

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2018
382 500
Mbowe is among of best leader in Tanzania
It's best na mimi natamka wazi ,

Mm siyo CHADEMA, nasifikirii kujiunga nao
Ila hili naliona kwa sababu kuu tatu

1.Hayumbishwi: hii naiyona wazi baada ya kuondoka Kwa nguli na vigogo wa chadema mfano zitto, lowasa, slaa n.k tulitegemea chama kingeyumba ila kipo imara.

2. Siyo Mkulupukaji: najua wengi walitamani Mbowe ajitokeze adhalani aongelee swala la kuendelea kuongoza, ila wapi hola, kila neno analolitoa ni planned haongeihongei tu. Hatoi neno kwa mihemko

3.Amani : ingawa chadema kuna chokochoko nyingi ila kuna a man, upendo, na umoja miongoni mwa wanachama tofaut na CUF, CCM n.k hamna aman kule ni kutetea tumbo lako

4.hana tamaa na Mvumilivu: ukisikia misukosuko aliyo ipitia mbowe na anayoendelea kuipitia inabid uwe na guts kweli lasihivyo huwez stahimili .kwanzia kwny vitega uchumi hadi familia yake .

Najua katika kosa ambalo CHADEMA watafanya ni kumtoa mbowe kwenye kiti chake unajua kwann?
Bado hawajajua nani ni nani!
Na niukweli usiopingika chadema hawaaminiani.

* Nahisi hakuna mtu ambaye CCM inamuitaji kuzidi Mbowe kwa sasa huyo ndo mwanasiasa bora na mwenye samani kwao. Ipo tayari kwa gharama zozote zile,
Imefanikiwa kwa rowasa, slaa , zitto, lipumba n.k
Nasikia kina kubenea na wengine wanaanzisha movement za kumreplace Mbowe .
Muhimu

Wanapaswa wajiulize wana guts?
 

Forum statistics

Threads 1,382,054
Members 526,258
Posts 33,818,536
Top