Unataka kunichezea tu!

...Mtani nakuunga mkono kwenye hili, ila ungeweka "censored" hapa;

Wasomaji wa mstari kwa mstari hawatakuelewa bana, au unaonaje?
'wanafundishwa' ...."mwanaume akishaonja, humuoni tena...!"

Ni kweli sasa niliogopa kuandika maneno mazito maana JF watoto wanatembelea! Watoto wa Form 2 wako wengi tu siku hizi nao wanavinjali hili jukwaaaa
 
Hivi mie nimewachezea watu?...aaakh i mean hivi mie nimechezewa eeeh!...aaakh haiwezekani itakuwa nimechezeana na watu ...da!
 
Huwa inapendeza sana ikiwa mkaka atakuwa wazi hasa kuhusu nia yake kwa mdada. Siyo lazima useme kuwa unamchezea tu waweza tumia neno tofauti lenye maana sawa na hiyo. Wapo wadada wengi tu ambao wao huwa hawahitaji mtu wa future...Hivo ni vema kuwatafuta hao kuliko wampotezea mda mtu mwenye malengo yake ya kuwa nawe maishani.

Barikiwa sana!!!
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia nyingi tu..
Ikiwa hata kuzoeana bado wakaka mwawezaje kumtaka kimwili mdada?

Kama kigezo ni kuzoeana ni vema basi mkazoeana kama kaka na dada kwanza kabla ya kuazisha hayo mahusiano.

Angalizo: Huu ni mtazamo wangu tu kuwa huenda hiyo ni gia yenu (wakaka) tu ya kupenda kumega mega ovyo....Mshindwe kabisa

Huo mtazamo niwako na wangu. Wakaka mmesikia, usimkute mdada wa watu kajituliza zake ana malengo yake ya maisha halafu unamharibia kwa tamaa tamaa zako. Ushindwe!!
 
Huko sitaki...Egypt ndo kuzuri maana maandamano yamepita!Ila kama unanichezea usinifuate baba mchungaji!

Heshimu Firstlady amesema ni kuchezeana unaona ilivyokuwa na mvuto sasa!
 
Hivi mie nimewachezea watu?...aaakh i mean hivi mie nimechezewa eeeh!...aaakh haiwezekani itakuwa nimechezeana na watu ...da!

Samahani dada, hivi wewe na FL1 mnajuana au ni mtu yule yule?
 
Heshimu Firstlady amesema ni kuchezeana unaona ilivyokuwa na mvuto sasa!

Mi staki kukuchezea kwahiyo unabaki wewe baba mchungaji!Tukisikiliza ya watu tutaishia kugombana ujue!Mbona fulani kasema hivi...mbona wale wanafanya vile...!
 
Mi staki kukuchezea kwahiyo unabaki wewe baba mchungaji!Tukisikiliza ya watu tutaishia kugombana ujue!Mbona fulani kasema hivi...mbona wale wanafanya vile...!

Ur my future! Hadi ukamilifu wa dahari
 
Back
Top Bottom