Unataka kunichezea tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unataka kunichezea tu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Feb 24, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Unapokuwa kijana unakutana na kijana mwenzio iwe safarini, sehemu za kazi ama mtaani. Uzalendo unakushinda na kuanza kurusha ndoana zako kwa mdada. Chemistry inaanza kuwapanda wote. Unaanza kujiweka karibu na binti mnaenda dinner na movie kadhaa. Kabla ya kulala mwapigiana simu ....etc etc missing you kwa sana. Hapo mkaka unatafuta kasi umwombe tunda. Siku ya siku unameza mfupa na kumwambia mdada inakuwaje sasa? Jibu bwana mimi nakupenda pia ila naogopa utanichezea tu na kuniumiza moyo wangu, niliwahi umizwa na mkaka mmoja nilimpenda kuliko wewe!!!!!!! Hapa hujiuliza kuchezewa kupi huko? Nadhani labda wadada mbadili kauli iwe tunachezeana its makes more sense kwangu.

  Haya wadada mpo?
   
 2. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wadada tupo....tunasemaga hivyo kwa kuwa unakuta mtu umekuwa na uhusiano na mwanaume,unafikiri mna nia mamoja kumbe mwenzio kwake wewe ni part time au mlupo....kuna ambaye anamfikiria na pengine anaye wa future ambayo unafikiri wewe ndo unayo kwake.....mimi nafikiri naweza sema tulichezeana if tutakuwa tumeamua kabla ya uhusiano wetu kuwa we are just having fun au pass time......ila unaponidanganya then ukani let down bila sababu hapo nitasema nilichezewa......

  Rev.....:rain:
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mbona wadada nao hubwaga wakaka bila hata sababu ya msingi lakini sisi wanaume huwa tunavumilia na kuanza mbele bila kuweka la kucheweza. Sijawahi sikia mwanaume akidai kacheweza na mdada! Ina maana waume ndo wachezaji peke yao????
   
 4. LD

  LD JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mchungaji!!!! Mi naona itakuwa tumechezeana kama tumekubaliana tunachezeana.
  Lakini sio mimi nawaza Kaskazini na wewe Unawaza Mashariki.
  Alichokisema Michelle hapo juu ndo nakimaanisha.

  Kuhusu mdada kumbwaga mwanaume hata yeye amemchezea, kwa misingi hiyo hiyo.
  Muda, akili.......................................
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  In a real sense je naweza mwambia mdada mimi napenda kukuchezea tu? Nadhani mara nyingi hata kama jibu nalijua mrembo akiniuliza wewe hutonichezea tu? Jibu ninalo kabisa kuwa "Sintokuchezea kamwe" hiki wadada hupenda kusikia. Hata kama anajua hapa mmmhhhh
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Anti samahani, hivi nyie akina dada mnaweza kukubali kutoa tunda kwa makubaliano ya kwamba tuchezeane halafu baadaye tusijuane? Manake hata mimi huwa natumiaga gia ya "'together in future'" ili nipate ninachokitaka kwa sababu nikiomba kuchezeana peke yake nahisi kama nitatoswa vile... Hebu nifungue macho basi.
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nimewahi sikia wanaume wakilalamika kuwa wametumiwa na wasichana...hawasemi wamechezewa but the meaning ndo ile ile kuwa amepotezewa muda au kudanganywa na msichana....it can be done by both sides!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wadada wanapenda sana hii kauli ""'together in future'" wakisikia hiyo! Kila kitu unapewa.[FONT=&quot][/FONT]
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  inategemea na exposure ya mtu, kuna wanaume wanasema kabisa....i just wanna have some fun with you......hasemi kuchezea,thar would be insane! ofcoz wanaume wengi wa kitanzania ndo zao kutumia gear ya future.....ila pia nimeona wasichana wanaotaka just to have fun na wanaume hapa hapa Tanzania.....kitaeleweka tu....
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hao wanaume wa hivyo ni wazembe! Umetumiwa kitu gani na wakati na wewe ulikuwa unatumia lol!
   
 11. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huwa inapendeza sana ikiwa mkaka atakuwa wazi hasa kuhusu nia yake kwa mdada. Siyo lazima useme kuwa unamchezea tu waweza tumia neno tofauti lenye maana sawa na hiyo. Wapo wadada wengi tu ambao wao huwa hawahitaji mtu wa future...Hivo ni vema kuwatafuta hao kuliko wampotezea mda mtu mwenye malengo yake ya kuwa nawe maishani.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Umwambie msichana wa kitanzania lets have funny and enjoy each other huyo huwezi mpata hata siku moja! Labda um-bake ......!
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ubarikiwe Nyadhiwa.....sina la kuongeza kwa hii thread!
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Hapo penye red, mazingira ndiyo hutupelekea kuwa hivyo dada'ngu, labda muanze kubadilika na kuwa wazi...

  Hapo penye red nitapafanyia kazi, ila na nyie punguzeni kuficha mambo Bana mrahisishe maisha, manake haya mnayasemaga kwa keyboard tu,,, tukikutana live i bet you will be after future too!!!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Jamani umewapa za uso! Mdada hata kuzoeana bado anataka utangaze ndoa lol! Maisha menyewe haya.....mmmhhhh
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Feb 24, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Mch. We umeyajuaje haya yote na wewe kazi yako ni kuchunga kondoo
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kwenye mahubiri kijana wangu! Tunapata storiez mingi
   
 18. Nyadhiwa

  Nyadhiwa JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nashukuru ikiwa utapafanyia kazi maana jambo hilo huwa linasumbua sana.

  Ni kweli mimi niko after future....Sihitaji mtu wa kunipotezea muda wala kumpotezea muda ikiwa najua siko tayari kuwa naye maishani.

  Inapendeza kumwambia mtu ukweli pasipo kificho...Kuyatenda yale tupendayo kutendewa na wengine.
   
 19. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  TANMO, inawezekana, ila kama pale tu ni dada amevutiwa na wewe in other words, if she is attracted to you physically ila haoni future na wewe. Wadada saa nyingine hufikiria "how is it like to be with that guy"? Hawa ni wachache sana, they have confidence in their sexuality and know what they want.
  Ofcourse kuna wale wengine wanao kubali kucheza kwa malipo, kwao ni biashara and no feelings attached.
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Can you be my future wife?
   
Loading...