Unataka kumfanyia mwanamke kitendo cha uovu?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
12,280
Reaction score
33,986
Kibaka akitaka kumwibia mwanamke, kwanza kabisa ataangalia kama ameongozana na mwanaume.

Muuza magari akitaka kumuuzia mwanamke gari bovu au kumpiga kwenye bei, ataangalia kwanza kama yupo na mwanaume.

Fundi wa kukarabati nyumba akitaka kumpiga mwanamke material za ujenzi kwanza ataangalia kama kuna mwanaume humo ndani ya nyumba.

Mwanaume mwenye nia ya kumfanyia mwanamke vitendo vya ubakaji atahakikisha kwanza huyo mwanamke hayupo na mwanaume katika mazingira hayo.

Mashoga wa hovyo kabla ya kumpotosha mwanamke mwenzao huwa wanaangalia kwanza kama yupo kwenye mahusiano ya serious na mwanaume wake.

Mbinu rahisi ya kumtapeli, kumpotosha, kumzulumu, kumwibia, kumbaka, kumdhuru au kumfanyia mwanamke kitendo chochote kibaya, ni kumwondoa mwanaume kwenye maisha yake au kumshawishi kwamba mwanaume ndie adui yake.

"ukikubali kuolewa mapema mwanaume atakunyanyasa"

"zaa tu ulee mtoto wako wanaume hawaeleweki"

"bwana ako amekukataza kutoka usiku kwa sababu hataki ule maisha"

"mwanaume wako sio baba ako, una haki ya kujifanyia maamuzi yako mwenyewe"

Shauri kama hizo hapo juu ndio mwanzo wa usingle mother, mabinti wadogo kuleweshwa pombe na kuishia kuingiliwa kinyume wakiwa hawajitambui, kujazana kwenye maombi ya upepo wa kisulisuli kutafuta mume wakishafubaa n.k, kwa sababu hizo shauri zinamwondoa mwanamke kwenye ile devine order ya kuhitaji ulinzi wa mwanaume.

To take advantage of a woman you must make sure she has no man's protection or there's is no man she listens to. Sell her the idea of being free to do what ever she likes. Once you achieve this you have unlimited number of women to exploit, scam, use, damage, harm, traumatise or destroy while convincing them that you are giving them right and opportunity to exercise their freedom.

Thieves understand this. Businesses understand this. Toxic friends understand this. Corrupt men understand this. Feminists understand this.

NB: Hakuna popote nilipokuambia uende kufanyia kazi nilichokiandika hapa.

Don’t be a simp.
 
Huu ujumbe wako nimeuelewa sana. Wanawake wengi wameingia kwenye huu mtego na maisha yao yamevurugika beyond repair.
Wanawake wana bahati ya kuingia kwenye age ya adulthood wakiwa na thamani kubwa. Ingawa hiyo bahati inakuja na changamoto, inawafanya wawe prey kwenye dating pool.

Sisi wanaume tunaingia kwenye age ya adulthood tukiwa hatuna thamani. Kwahiyo tunakua invisible. Thamani yetu inakuja baadae wakati ambao tayari tuna uzoefu kwaiyo tunakua na hekima na busara kuweza kufanya maamuzi sahihi.

Ndio maana mwanamke anahitaji ulinzi mkali zaidi especially kwenye age ya miaka 15-25. Bahati mbaya feminism imewauzia illusion ya unlimited freedom and reckless decisions without consequences. Hii kitu huwa inakuja kuwatafuna badae wakiwa washazama shimoni. Tuwalinde sana mabinti na wadogo zetu wa kike.
 
Its time we talk about traumatised men for once, yani wako wengi maana haya majambazi yanayovuja damu kila mwezi yanapiga matukio kimya kimya unakuja kusikia kelele tu mitandaoni, mwendo wa ving'ora tu wiiiiuuuu wiiiiuuuu kutoka kwa waliopaswa kuwa viongozi, sura ya Mungu.

Unakuta kademu kamoja kameachia ballistic kwa mwana mmoja, basi mwana maisha yake yote anawaza kuumiza kila anayekutana naye, sio mtandaoni sio uraiani

Truly pathetic.

JESUS HEALS
 
mleta mada upewe pongezi, uko na upeo mkubwa kwenye haya mambo.
tokea nimekufahamu kupitia mada zako hapa jukwaani, ni karibu mwaka wa pili sasa, na kila wakati unakuja na kipya chenye na ubora kuliko cha jana.

shukrani za dhati maana yoote kwa asilimia kubwa unayo yawasilisha hapa ni kumlenga mwanamke, nami kama mwanaume ambae nina watoto wa kike napata kujifunza mengi sana namna ya kumfanya mtoto wa kike awe mwanamke.

shukrani tena.
 
Umeongea kitu kikubwa sana. Wapo wengi wanachukulia personal ninachokiandika, labda kwa sababu wakiangalia past au current zao kuna namna nawagusa kwa namna ambayo inawaumiza au haiwapendezi

Lakini wanashindwa kuelewa kwamba jinsia me na ke haziishii kwa mtu mmoja tu. Leo unaweza kuumizwa na ukweli kwa sababu unakugusa pabaya lakini ukweki huo huo unaweza ukauchukua na kuutumia kuwalinda wa nyuma yako. Wote wanaume kwa wanawake tunataka ustawi mzuri wa jamii. Tatizo bado hatupo tayari kukubaliana tulipotea njia kwahiyo tuanze upya
 
mleta mada upewe pongezi, uko na upeo mkubwa kwenye haya mambo.
tokea nimekufahamu kupitia mada zako hapa jukwaani, ni karibu mwaka wa pili sasa, na kila wakati unakuja na kipya chenye na ubora kuliko cha jana.

shukrani za dhati maana yoote kwa asilimia kubwa unayo yawasilisha hapa ni kumlenga mwanamke, nami kama mwanaume ambae nina watoto wa kike napata kujifunza mengi sana namna ya kumfanya mtoto wa kike awe mwanamke.

shukrani tena.
Danganyaneni.

No GOD in your wisdom.

Sanasana mnachofanikiwa ni kuzidi kuziweka mbali hizi jinsia mbili.

Fool's wisdom.
 
kutafuta mume wakishafubaa n.k,
3340baef-8aec-40e0-9b0e-96fa1a75bf38 (1).jpeg

NB: Hakuna popote nilipokuambia uende kufanyia kazi nilichokiandika hapa
 
Umeongea kitu kikubwa sana. Wapo wengi wanachukulia personal ninachokiandika, labda kwa sababu wakiangalia past au current zao
Huwa ume focus sana kwenye past past. .

Do you know the psychology (and the spirit) behind you focusing on people's past?

Halafu wewe (mwanaume) unataka tu focus tu kwenye future yako.
:2Head:

Do you know why?
 
Danganyaneni.

No GOD in your wisdom.

Sanasana mnachofanikiwa ni kuzidi kuziweka mbali hizi jinsia mbili.

Fool's wisdom.
Kwamba kilichoandikwa na mleta mada sio sahihi?

Kwamba sio kweli mwanaume akitaka kumuibia mwanamke haangalii kama kuna mwanaume pembeni yake? Iwe kununua/kukarabati magari, ujenzi/ukarabati wa nyumba nk, hakuna ukweli wowote?
 
Its time we talk about traumatised men for once, yani wako wengi maana haya majambazi yanayovuja damu kila mwezi yanapiga matukio kimya kimya unakuja kusikia kelele tu mitandaoni, mwendo wa ving'ora tu wiiiiuuuu wiiiiuuuu kutoka kwa waliopaswa kuwa viongozi, sura ya Mungu.

Unakuta kademu kamoja kameachia ballistic kwa mwana mmoja, basi mwana maisha yake yote anawaza kuumiza kila anayekutana naye, sio mtandaoni sio uraiani

Truly pathetic.

JESUS HEALS
Pamoja na yote jamaa kaongea kweli
 
Kwamba kilichoandikwa na mleta mada sio sahihi?

Kwamba sio kweli mwanaume akitaka kumuibia mwanamke haangalii kama kuna mwanaume pembeni yake? Iwe kununua/kukarabati magari, ujenzi/ukarabati wa nyumba nk, hakuna ukweli wowote?
Didn't even read what he wrote, nimesoma heading na mstari wa mwisho tu.

Toxicity everywhere.

Fikirieni mambo mazuri ya kufanyia wanawake zenu.

We kutwa 24/7/365 unawaza misukosuko tu. Truly toxic.

I repeat, no GOD in modern men's wisdom. Ni destruction tu inafuata, hamjengi chochote!

Majibu mnayapata in real time. Ni mwendo wa ving'ora tu. Wiiiuuu wiiiuuu.
 
Jukumu la mchungaji ni kumfikisha ng'ombe mtoni. Suala la ng'ombe kunywa maji huo ni uamuzi wa ng'ombe mwenyewe.
Wako wanawake wanaojitambua na huwezi kuwarubuni kwa urahisi. la nakubaliana na wewe wengine ni kama moto wa kibatari... upepo unakoelekea na wao ndiyo huko huko, hasa kwa wale wenye elimu ndogo. Ktu kidogo sana tayari ameshayumba. Hasa hawa wanaoitwa ma-shost ni hatari kubwa kama mwanamke hana akili. Na social media sasa hivi nayo inachangia kuteka baadhi ya wanawake akili.
 
Didn't even read what he wrote, nimesoma heading na mstari wa mwisho tu.

Toxicity everywhere.

Fikirieni mambo mazuri ya kufanyia wanawake zenu.

We kutwa 24/7/365 unawaza misukosuko tu. Truly toxic.

I repeat, no GOD in modern men's wisdom. Ni destruction tu inafuata, hamjengi chochote!

Majibu mnayapata in real time. Ni mwendo wa ving'ora tu. Wiiiuuu wiiiuuu.
Ukiwaza negatively unatisi anazingua, think of it in a positive way, huenda hata kuwasaidia binti zako in the future.
 
Kibaka akitaka kumwibia mwanamke, kwanza kabisa ataangalia kama ameongozana na mwanaume.

Muuza magari akitaka kumuuzia mwanamke gari bovu au kumpiga kwenye bei, ataangalia kwanza kama yupo na mwanaume.

Fundi wa kukarabati nyumba akitaka kumpiga mwanamke material za ujenzi kwanza ataangalia kama kuna mwanaume humo ndani ya nyumba.

Mwanaume mwenye nia ya kumfanyia mwanamke vitendo vya ubakaji atahakikisha kwanza huyo mwanamke hayupo na mwanaume katika mazingira hayo.

Mashoga wa hovyo kabla ya kumpotosha mwanamke mwenzao huwa wanaangalia kwanza kama yupo kwenye mahusiano ya serious na mwanaume wake.

Mbinu rahisi ya kumtapeli, kumpotosha, kumzulumu, kumwibia, kumbaka, kumdhuru au kumfanyia mwanamke kitendo chochote kibaya, ni kumwondoa mwanaume kwenye maisha yake au kumshawishi kwamba mwanaume ndie adui yake.

"ukikubali kuolewa mapema mwanaume atakunyanyasa"

"zaa tu ulee mtoto wako wanaume hawaeleweki"

"bwana ako amekukataza kutoka usiku kwa sababu hataki ule maisha"

"mwanaume wako sio baba ako, una haki ya kujifanyia maamuzi yako mwenyewe"

Shauri kama hizo hapo juu ndio mwanzo wa usingle mother, mabinti wadogo kuleweshwa pombe na kuishia kuingiliwa kinyume wakiwa hawajitambui, kujazana kwenye maombi ya upepo wa kisulisuli kutafuta mume wakishafubaa n.k, kwa sababu hizo shauri zinamwondoa mwanamke kwenye ile devine order ya kuhitaji ulinzi wa mwanaume.

To take advantage of a woman you must make sure she has no man's protection or there's is no man she listens to. Sell her the idea of being free to do what ever she likes. Once you achieve this you have unlimited number of women to exploit, scam, use, damage, harm, traumatise or destroy while convincing them that you are giving them right and opportunity to exercise their freedom.

Thieves understand this. Businesses understand this. Toxic friends understand this. Corrupt men understand this. Feminists understand this.

NB: Hakuna popote nilipokuambia uende kufanyia kazi nilichokiandika hapa.

Don’t be a simp.
Ila kwakweli🙆🏻🕴🏻
 
Back
Top Bottom