Bibi yako alikuambia ukweli. kwani marisk yanayotokana na kuwa na mwanamke/ mwanamme zaidi ya mmoja ni mengi! Hii haina ubishi! Sasa tusichukue exceptional cases kufikia conclusion. Tukumbuke wazee wameona mengi na wanayosema ni kutokana na undocumented research. Hii haimaanishi kuwa tusiziamini cha msingi kufanyia research na kudocument!Trust Me
Bibi yangu aliniambia jambo moja likanishangaza sana, baada ya kumuuliza ni nini kilichomuwezesha kuishi miaka zaid ya mia japo alikua wa kubeba ila brain capacity yake ilikua fit tu.
Akasema.
"UKITAKA KUFIKIA UMRI KAMA WA KWANGU KUA NA MWANAMKE MMOJA TU AU MWANAMKE AWE NA MWANAUME MMOJA TU DUNIANI" mwisho wa kunukuu zakuambiwa changanya na za kwako.
Babu yako alilishwa limbwata na alikua ----- la kutupwa. Papuchi zote hizi niziangalie hivi hivi kisa nije nibebwe na wajukuu. Tena umentia hamu ngoja niipigie nyumba ndogo yangu a.k.a mpango wa kando
Bibi yako alikuambia ukweli. kwani marisk yanayotokana na kuwa na mwanamke/ mwanamme zaidi ya mmoja ni mengi! Hii haina ubishi! Sasa tusichukue exceptional cases kufikia conclusion. Tukumbuke wazee wameona mengi na wanayosema ni kutokana na undocumented research. Hii haimaanishi kuwa tusiziamini cha msingi kufanyia research na kudocument!