Inaeleweka kuwa nyakati za nyuma kwenye ndoa Mwanaume alikuwa ndie mwenye last say kwenye chochote kile
Lakini siku hizi mambo ni tofauti wanawake nao wanahitaji kuwa na maamuzi hayo pia yaani sio mwanaume tu anatakiwa awe na last say
Pamoja na hayo bado haimaanishi kuwa kila mtu anaeingia kwenye ndoa anakubaliana na mabadiliko hayo
Kuna ambao wanataka mtindo wa zamani wengine wanataka mtindo wa sasa
Wewe ungependa ndoa yako iweje[kama bado hujaingia kwenye ndoa] au ungependa ibadilike na iwe kwa mtindo upi? [kama tayari upo kwenye ndoa]
Naomba unaposema unataka aina yoyote ya ndoa ile utoe na sababu za kutaka hivyo
Ijumaa kharim ...........!!!!!!!
Ya kisasa ndo mpango mzima. Wanasema mchawi mpe mwanao abebe. ukimpa mwanamke madaraka ni rahisi sana kucheza na akili yake. Unamfunga motor anakua busy siku nzima .Unamkabizi kila jukumu alafu wewe unaendelea na mamboyako mengine.
Kwanini msikilizane wote?
Ulishawahi kuona mahali ambapo hakuna mwenye last say?
wote tusikilizane..........wote tuwe na say
Hahahahahahaha 2ckilizane nn xaxa?
Hahahahahahaha 2ckilizane nn xaxa?
Inaeleweka kuwa nyakati za nyuma kwenye ndoa Mwanaume alikuwa ndie mwenye last say kwenye chochote kile
Lakini siku hizi mambo ni tofauti wanawake nao wanahitaji kuwa na maamuzi hayo pia yaani sio mwanaume tu anatakiwa awe na last say
Pamoja na hayo bado haimaanishi kuwa kila mtu anaeingia kwenye ndoa anakubaliana na mabadiliko hayo
Kuna ambao wanataka mtindo wa zamani wengine wanataka mtindo wa sasa
Wewe ungependa ndoa yako iweje[kama bado hujaingia kwenye ndoa] au ungependa ibadilike na iwe kwa mtindo upi? [kama tayari upo kwenye ndoa]
Naomba unaposema unataka aina yoyote ya ndoa ile utoe na sababu za kutaka hivyo
Ijumaa kharim ...........!!!!!!!
acheni kujidanganya Sk zote mwanamke unatakiwa upokee maelekezo na sio kutoa maelekezo....... Hata wanyama kama ng'ombe na nyani wanalitambua hlo. Ng'ombe anamuogopa mtoto wa kiume hata mwenye miaka miwili laki sio mwanamke mtu mzima.......
...mwanamke wa karne hii huwezi kumuendesha kama trekta bovu, labda kama unahitaji ndoa yenye misuguano.
..hakika nitakapoingia huko sitataka kuwa dikteta kama nilivyoona kwa baba yangu, the man decided everything, no opinion was accepted. Hata mama akijitahidi kushauri jamaa alipinga sana, ati "nimesema na sitaki mjadala" nilijisikia vibaya coz mum felt so inferior now and then.
kama ana wazo bora nitalikubali na mie kama nna opinion bora aikubali
sio mambo ya bendera fuata upepo.
sisemi hakuna mwenye last say lakin yeye leo anaweza kuwa na last say
na mie kesho nikawa na last say isiwe one way