KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,024
- 40,472
believe me, best, after the revenge you find that you are feeling none the better..on the contrary you feel the hollow in your soul has increased
i know siwezi run awy from guilt but nitapata relief
when uvumilivu ukiisha aiseee nitarudisha mapigo wakat yeye ana jihisi kupo shwari ..... revenge its good for heart
Well, I do agree but kibusara itategemea namna unavyorevange.
Hope you are not serious miss!
Wanaofanya hivyo si huitwa magaidi? Do you support them?????
Anabwatuka hovyo foo.l! Jee ukotayari nawe uonekane foo.l?
Nadhani kichwa ya habari haiko sawa ukilinganisha na maudhui...
Mi naona it's supposed to be, "Ukitaka heshima, heshimu wengine kwanza"...
narevange in the same way alivyonifanyia
You are wrong Luv. The way I know gorgeousmimi from reading her posts she is not a person to target a single person...Unajua hivi vitu ni kama mahubiri...mhubiri yeyote anayeijua kazi yake na aina ya watu anaowahubiria akitoa mahubiri iwe masjid au kanisani basi several people huwa wanawaza "hivi huyu jamaa huwa anafuatilia mienendo yangu au?"
Point ni kwamba katika jamii huwa watu walewale wanafanya mambo yaleyale..after all cant you see wanawake wengi (sio wote) wana matatizo hayo?
Baada ya hapo, once again gorgeousmimi, you have well exercised those cells in your brain..una akili kama watu wa Bukoba
Thumbs up (mikono ishaanza kuniuma kwa ku-clap)
why dia?Dada umevurugwa!
why dia?
Sawa ahsante babu!Seek to understand..... then to be understood....
hizi busara zako zinanifanya nifikirie kuongeza mke wa pili..can u plz be my second wife??..ukikubali ntakuzawadia meli na bahari yake