Unataka heshima! Kaa mbali na watu

Unataka heshima! Kaa mbali na watu

Mnawachanganya watu, mara muwaambie ili ufanikiwe lazima uwe na network kubwa ya watu kwa maana ya " Your network is your net worth" sasa leo unasema usionekane na watu , kwa hiyo unatengeneza Network ya watu huku umejificha ? Hujajua Power of association wewe !
 
hawajamalizia sentensi zao wote inatakiwa uwe katika status ya aina flani either big super star,mwanasiasa,extra ordinary wealth
 
Kwa kweli sijui kila binadamu ameumbwa kwa jinsi ya ajabu, mm mwenyewe hua sitaki kuwa na mazoea zoea na watu bila sababu ya msingi na nilivyo siyo rahisi kuzoeleka na wengine wananiita mpole,mkimya na mengine mengi ndiyo nilivyoubwa najitahidi imeshindikana kabisaaa!.
 
Back
Top Bottom