Kweli kabisa, Ila isiwe too much..! Kama wale wenzetu.Na wengine tuishi nao kwa akili.
Haswa, ukiwa unapatikana kirahis, basi watu wanakuzoea na jnachokwa haraka.Asante Sana kwa ujumbe mzuri,hii ndio kanuni yangu siku zote. Ukikaa mbali heshima inakuja. Pia uwe mtu ambaye sio rahisi kupatikana yaani mpaka mtu akutane Na wewe basi iwe Ni kwa mambo ya msingi Sana.
kweli mkuuHaswa, ukiwa unapatikana kirahis, basi watu wanakuzoea na jnachokwa haraka.
Kuna ukweli hapa....ukitaka uheshimike hata kama huna chochote jambo na kwanza ni kuwa na Mipaka baina yako na Jamii inayokuzunguka...
Kw mfano Mimi nikiwa Chuon kuna baadhi ya watu wamenizidi Umri na kipato lakininwananiheshimu na nalijua hilo...na heshima waliyonayo ni tofauti na ninavyoona wakiwafanyia wengine....
Wale wanaokuzunguka wakikuzoea sana watakuwa wananakuona wa kawaida...
Naunga mkono hoja,watu wakikujua sana wanaanza dharau,bora kujiweka mbali kidogo no matter hata wakuone unaringa but wakuheshimuJe unataka kumaintain heshima katika jamii , KEEP DISTANCE. Nikimaanisha usiwe wewe unapatikana popote wakati wote na kwa watu wote..
Distance ndiyo inatengeneza hadhi ya Mtu, usiwe mtu wa kujumuika na watu hovyo hovyo, angalia unaweza kuwa na tija kukusanyika hapo, jitahidi na penda kuwa na wewe siyo na watu.
Ukiwa mbali na mwanadamu ni rahisi kumpenda na kumfurahia na kuwa na kiu nae zaidi, hata dharau na machukizo hutaona.
Mungu mwenyewe yupo mbinguni nani anaweza kumfikia na kila mtu anamuheshimu, lakini tuliletewa yesu, tulimdharau mpaka tukamuua.
Katika falsafa ya tamaa kitu chochote kinachopatikana kwa nadra kinathamani kubwa, Madini yanapatikana kwa nadra sana na yapo ardhini.
Hata mtangazaji wa TV tungekuwa wote, tupo pale studio, asingweza kutangaza vizuri, kuna wengine wangecheka na kumdhihaki morphologically.
Kaa MBALI na nguru mbili (wanadamu). Na wengine tuishi nao kwa akili.
Thanks
Be inspired
16 katika kitabu cha "the 48 laws of power by robert greene kimeeleza wazi kua ... USE ABSENCE TO INCREASE RESPECT AND HONOUR.