ivi hiyo avatar yako....huyo mbabu anamfanya nn Mtoto? au nimeona vibayaNDOA! MCHUMBA!
Kumchunguza mtu anaejua unamchunguza!
Nikikumbuka nilipotoka..pesa halali inauma asikwambia mtu.
Nimesha andika Uzi kunihusu mkuuAisee inaelekea una mengi ya kuongea,
kama hutojali unaweza kushea nasi kimoja kimoja ili tukapata funzo