Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 286
- 324
Natafuta kazi Ya kumchekesha Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania pale anapokuwa na stress za wapinzani
Kama Heche.
Sijui pakuanzia mk
HahahaNatafuta kazi Ya kumchekesha Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania pale anapokuwa na stress za wapinzani
Kama Heche.
Sijui pakuanzia mkuu
Watakuandalia cv yako kwanzaNatafuta kazi Ya kumchekesha Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania pale anapokuwa na stress za wapinzani
Kama Heche.
Sijui pakuanzia mkuu
Nasubri mwongozo cv nitashirikiana nao kuianda ikiwa na kuambatanisha clips kadhaa kama ushahidi kuwa naweza kumchekeshaWatakuandalia cv yako kwanza
Nafikiri hii ndio ilipaswa kuwa Marketing tips yenu(BASE) au kibiashara tunasema mtego wa kunasa wateja, Mnapaswa kwanza kutafuta hizo kazi na kisha kwenye issue ya maombi ndio mnajiweka mtu kati.kukupa taarfa juu ya nafasi za kazi zilizopatikana au kuitwa kwenye usahili.
Karibu sanaAnayeandikia watu CV ili wapate ka yeye mwenyewe hana kazi ya kuajiriwa!
Hapana sisi ni kampuniNyie wenyewe mnatafuta kazi
Nafikiri hii ndio ilipaswa kuwa Marketing tips yenu(BASE) au kibiashara tunasema mtego wa kunasa wateja, Mnapaswa kwanza kutafuta hizo kazi na kisha kwenye issue ya maombi ndio mnajiweka mtu kati.
Yoyote ambaye atakuwa tayari kuomba hizo kazi, hapo sasa ndio mtaingiza swala la mnaweza kumuandalia CV na kumuombe hio kazi endapo akalipia 50k, then mnaongeza mbwembwe zingine za subscription.
Mtu hawezi kuwa JOBLESS halafu alipie 50k atengenezewe CV ikae ghetto. ILA kama kutakuwa na kazi za kuomba(alizoona kwenu), basi kwake itakuwa ni rahisi kuwapa hio 50k ili muandae CV yake na mtume huko anakotakiwa kuomba kazi.
Just an advic

Just a
Tunamsaidia ku apply kazi kwa MBARAKA waje ahsante kwa ushauri lakiniNafikiri hii ndio ilipaswa kuwa Marketing tips yenu(BASE) au kibiashara tunasema mtego wa kunasa wateja, Mnapaswa kwanza kutafuta hizo kazi na kisha kwenye issue ya maombi ndio mnajiweka mtu kati.
Yoyote ambaye atakuwa tayari kuomba hizo kazi, hapo sasa ndio mtaingiza swala la mnaweza kumuandalia CV na kumuombe hio kazi endapo akalipia 50k, then mnaongeza mbwembwe zingine za subscription.
Mtu hawezi kuwa JOBLESS halafu alipie 50k atengenezewe CV ikae ghetto. ILA kama kutakuwa na kazi za kuomba(alizoona kwenu), basi kwake itakuwa ni rahisi kuwapa hio 50k ili muandae CV yake na mtume huko anakotakiwa kuomba kazi.
Just an advice.