Unatafsiri Nini Tofauti Ya Picha Hizi

Unatafsiri Nini Tofauti Ya Picha Hizi

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,043
Reaction score
74,753
ImageUploadedByJamiiForums1377872462.928386.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1377872534.082753.jpg
 
It's very hard to come up with valid conclusion by relying only on the 2 pictures. the first the 2 guys were in deep discussion, there, seriousness is inevitable. There are other circumstances where these 2 people were in deep laugh right? show us these pictures too!. the second photo, yes, they were laughing because the situation allows them to laugh and we can't conclude that always they're joking even if the matter is so serious.
 
Picha ya kwanza ni Waumini wa mafanikio kupitia Ujamaa na Kujitegemea wakiwa ktk kujadili mambo yaMaendeleo na utatuzi wa matatizo ya Jamii ya kitanzania

Picha ya Pili ni ya viongozi wanaofanya Kinyume na yale yaliokua yakilengwa na wale wa picha ya kwanza
 
Hiyo picha ya kwanza inaonyesha jinsi viongozi makini na waliokuwa na uchungu na nchi yao wakijadili mambo muhimu yanayokabili nchi yao. Hawa wa chini ni wasanii wa kizazi kipya wakichekana kwa ku-share machangudoa pale mjengoni Dom.
 
picha ya kwanza ni ya marehemu na ya pili bado wapo hai wanatafuna nchi na kuwaza safari tuu!walishasahau kama kuna shida hapa duniani!!
 
1. wapenda nchi,
2.walaji nchi . Pretenders/Jokers!!
 
Picha ya mwanzo Tanzania tulikuwa shidani na viongozi walikuwa hawana wakati wa kurelax na ya pili ni tofauti ya hiyo ya mwanzo!

Unataka kumaanisha sasa hivi Tz hatupo shidani pamoja na majanga yote na matatizo tuliyonayo ambayo hayajatatuliwa?
 
Unataka kumaanisha sasa hivi Tz hatupo shidani pamoja na majanga yote na matatizo tuliyonayo ambayo hayajatatuliwa?

walio pichani ni viongozi na namaanisha kuwa wakati huo hawakuwa na nafasi ya kurelax lakini sasa sema mwenyewe kiongozi gani mwenye tabu? Tabu ni kwako tu mwananchi.
 
Back
Top Bottom