Unatafsiri Nini Tofauti Ya Picha Hizi

Unatafsiri Nini Tofauti Ya Picha Hizi

Picha ya Kwanza Ni waziri Akisikiliza maagizo ya Rais wa Nchi!Picha ya Pili ni Viongozi waliopeana madaraka kishikaji!Hakuna ethics za Urais wakti ukiwa na fellows wako!
 
Picha ya Kwanza Ni waziri Akisikiliza maagizo ya Rais wa Nchi!Picha ya Pili ni Viongozi waliopeana madaraka kishikaji!Hakuna ethics za Urais wakti ukiwa na fellows wako!
Unamaanisha hiyo ya pili ni kikundi cha marafiki ambao ni urafiki kwanza kazi baadae?kwamba hapo kwa urafiki huo hakuna awezae kumwajibisha mwenzake akikiuka maagizo?
 
waliopambana na maadui zetu ujinga, umaskini na maradhi na wliorodhika na maadui hao tena wamewaendekeza mpk wamezaliana na kutokea wengne kama udini, ufisadi
 
1. Picha ya kwanza VIONGOZI
2. Picha ya pili WATAWALA
 
Ni sawa na tuchukue picha zako ukiwa kazini tulinganishe a ukiwa harusini, the way I c it, ungechukua hy ya mwanzo na nyingine wapo hao watatu TU, ingeleta sense
 
Back
Top Bottom