Unasubiria GTA V? huenda ukahitaji PC mpya

Unasubiria GTA V? huenda ukahitaji PC mpya

gta v ina charachter watatu na ni moja ya kitu ambacho kimefanya iuze sana sababu hata game linakuwa refu.

GTA-5-Characters-Trailer.jpg

wewe tu mwenyewe utaamua umkubali yupi

Napendelea kumtumia Trevor sababu ni mental na Franklin ni kwenye driving...
 
Wakuu tufahamishane tu ni hivi mimi nimecheza GTA V ya PS3 10 month now mpaka online kama ndio wanatoa ya pc kuna nini cha ziada au ni story inaendelea ilipo ishia Franklin kashirikiana na Michael kumua Trevor alfu baadae Franklin kumuaa Michael..Najua Graphic za PC zitakuwa nzuri lakini hata PS3 wanaupdate

mi siifahamu story yake ila ninavyojua sababu ya kuchelewa kuna mtu aliwalipa rockstar wasilitoe kwenye pc kwanza. watu wengi wamenunua console (ps4/xbx1) sababu ya hili game.

kuhusu graphic za pc zitakuwa next level sababu litakuwa ni 4k, ila pc itakayocheza gta v kwa 4k bei yake ni kubwa sana pengine zaidi ya milioni 2. na pia utahitaji monitor au tv ya 4k.

kuhusu story naamini itakuwa ni ile ile kama kutakuwa na update ya story basi patch itatolewa kwa wote
 
alafu humu watu wanafiki sana kuna mshkaj alianza kubrag ana game kibao ameshusha nikamuomba ani pm nimende anicopie mzigo akaingia mitin! tujenge mazingira ya kusaidiana jaman

wengine ni waongo
 
Wakuu tunaipataje hii GTA V pc inajitosheleza kila kitu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mkuu nna core i3... ni 4cpus ila graphics ni intel hd... hv hako hakatajimudu???
 
mkuu nna core i3... ni 4cpus ila graphics ni intel hd... hv hako hakatajimudu???

1. i3 sio quadcore ni dual core with hyperthreading. pili igpu ya i3 kama sio ya series 43xx basi ni mbaya zaidi sidhani kama litakubali
 
1. i3 sio quadcore ni dual core with hyperthreading. pili igpu ya i3 kama sio ya series 43xx basi ni mbaya zaidi sidhani kama litakubali

Me nina Lenovo G510 Core i5-4200 M 2.50 GHz 2.50 GHz vipi mkuu itasukuma hili game ilinianze kuli download..
 
Me nina Lenovo G510 Core i5-4200 M 2.50 GHz 2.50 GHz vipi mkuu itasukuma hili game ilinianze kuli download..
Sina wasiwasi na hio processor naijua ni ya ukweli na ni mpya ila wasiwasi wangu ni gpu.

G510 sijawah kuziona na dedicated gpu inamaaana utakua unatumia intel hd 4600 nafkiri itakulimit kwenye hilo game

Wait bdae ntakuangalizia youtube hd 4600 inavyohandle game na fps utazopata kabla hujadownload
 
uIc7zOM.png

Title: Grand Theft Auto V
Year: 2015
Genre: Action-Adventure / Open World
Developer: Rockstar Games
Publisher: Rockstar Games
Languages: English + Multi10
iUe0M2gl2U5hR.png

iyxiif10.jpg
ilmplh10.jpg
iv2aid10.jpg
gtasys10.jpg

- Disable your anti-virus.
- Mount or Extract DVD 1
- Run setup of DVD 1
- Install it.
- Mount or Extract DVD 2
- Run setup of DVD 2
- Install it to same path where you installed DVD 1.
- Wait for installation to finish...
(its recommended to close all programs and leave the installation)
- Once installed, play !

Additional Notes :

- About 2.5x Faster Installation Time
our test on a 4-Core CPU, it took 1 hour 45 minutes to install !

- Important MP Files Have been Included.

- No More Millions of Files During Installation.

- Includes Update 4 & Crack V4-3DM

:tea::tea::tea:
http://kickass.to/grand-theft-auto-v-multi11-inc-update-4-dlc-s-repack-by-corepack-t10584996.html
 
Sina wasiwasi na hio processor naijua ni ya ukweli na ni mpya ila wasiwasi wangu ni gpu.

G510 sijawah kuziona na dedicated gpu inamaaana utakua unatumia intel hd 4600 nafkiri itakulimit kwenye hilo game

Wait bdae ntakuangalizia youtube hd 4600 inavyohandle game na fps utazopata kabla hujadownload

Pouwa mkuu nasubiria majibu....??
 
Pouwa mkuu nasubiria majibu....??

kaka nimecheck game linacheza ila kwa fps za mashaka 20fps-30fps

unaweza jaribu bahati nasibu yako
-eka resolution na grahics ambazo ni ndogo
-usirun vitu kwenye background
-uwe na latest driver za grahics

then unaweza pata hizo fps
 
Shukrani mkuu ndo nalipakua hili game but cjui kama litaisha leo,
 
g3258 ya ukweli ila siku hizi game zinaanza kueka minimum quadcore, hili ni la pili naliona. sasa sjui wanaeka kwenye makaratasi tu au ni kweli hayatakubali processor za dual core. sipati picha watu wenye laptop itakuwaje maana hadi i7 ni dual core

i7 ??? Una maana core i7?? kama ndio unataka kusema core i7 ni dual core?
 
i7 ??? Una maana core i7?? kama ndio unataka kusema core i7 ni dual core?

i7 za desktop zipo za
-core 6
-core 4

i7 za laptop zipo za
-core 4
-core 2

So yes zipo i7 ambazo ni dual core tena nyingi tu sema zinasuport hyperthreading.

Na i7 ambazo ni quadcore bei ya laptop zake si chini ya milioni 2 maana ni ghali sana hasa laptop ambayo ni ya gaming
 
hapa sasa wadau wengine ndo watakuja na majigambo akina mwasakafyuka. ana apple RAM 16GB, HDD 2 TB,NI DUO QUAD CORE PROCESSOR i9.
anyway lets come back hii issue kudownload kwake nayo itakuwa ni gharama sana over 60 gbs? then inataka specifications za kufa mtu hii lengo kwa kiasi flan pia ni kupuunguza piracy lakini pia ni suala la ubora na hata story yenyewe kuwa kama movie sasa. jamaa yangu ana laptop yake Ram 4 GB , Intel Core i3 anauliza ina maana hapa yeye hana chake kabisa? na kujua hizo graphics card anajuaje ktk laptop yake?
 
Back
Top Bottom